Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Boeing CH-47F Chinook
Current Price $ 25.1 million to - $ 32 million U.S.
Tunaweza mbona
If you convert hiyo pesa to tzs 74,612,384,000. Aint no joke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boeing CH-47F Chinook
Current Price $ 25.1 million to - $ 32 million U.S.
Tunaweza mbona
tunamkumbusha pia kuwa wananchi sio kazi yao kuvuta ndege na wala mitumbwi sio kazi yake yake kubeba raia waliopata ajali.Msemaji Mkuu wa Serikali amesema hayo na kuongeza kuwa watu wanaolalamika na kuhoji juu ya kutotumika Helikopta katika uokoaji kwenye ajali ya Ndege ya Pecision Air wapuuzwe.
Amesema Serikali haiwezi kuwa na dhamira ya kuacha wananchi waangamie pale majanga yanapojitokeza na ndiyo maana walitumia kila njia kuhakikisha wanapunguza madhara ya ajali.
View attachment 2410311
Tanzania spends 500bn Tsh,Each year kununua V8 ,ni planning tu hakuna kinachoshindikanaIf you convert hiyo pesa to tzs 74,612,384,000. Aint no joke
Dah unaweza kudanganya ubongo kwamba jamaa hili ni jiniasi ila moyo ukamgomea ubongo, ameshindwa hata kusema helkopta zilikuwa mbali na eneo la tukio?? Stress tulizonazo watanzania vyanzo vyake ni vingiMsemaji Mkuu wa Serikali amesema hayo na kuongeza kuwa watu wanaolalamika na kuhoji juu ya kutotumika Helikopta katika uokoaji kwenye ajali ya Ndege ya Pecision Air wapuuzwe.
Amesema Serikali haiwezi kuwa na dhamira ya kuacha wananchi waangamie pale majanga yanapojitokeza na ndiyo maana walitumia kila njia kuhakikisha wanapunguza madhara ya ajali.
View attachment 2410311
Ni kama Bombadier tu kama tunaweza kununua Airbus ya kupigia misele bora hiyo.If you convert hiyo pesa to tzs 74,612,384,000. Aint no joke
Eti Serikali Imetumia Kila Mbinu Kuokoa Watu, Huyu Mwamba Atachelewa Kuingia MbinguniMsemaji wa Serikali nilitarajia uwe kwenye hiyo ndege ila ulinusurika hukuipanda.
Kinyaa SanaKazi kweli kweli
Madaraka Ya KulevyaHelicopter zetuni za kusafiria.....
Huyu jamaa kavimbiwa!!!
Ina uwezo wa kubeba Watu hamsini na tano na tani kumi za mzigo hutumiwa sana na specia forces.
Kwakweli nikiri sikuiangalia.Je,mliagalia vizuri helicoper iliyo mleta Waziri mkuu,je: ni ya kijeshi au kiraia, labda tuanzie hapo?
Ni Masalia JamaaPumbavu kabisa huyu jamaa.
Anaongea nini huyu pumba tupu.
Serekali wakiweza wakae kimya kabisa. Wasianze kabisa kubishana na watu kuhusu hili, ni busara ukiumbuka kukaa kimya yapite.
Yaani majanga yanatokea mita 100 kutoka airport mnashindwa kuokoa? Sasa mnakuwaga na fire na vikosi vya uokoaji vya nini. Ingekuwa watanzania wamekufa kwa kishindo au moto uliojitokeza ingekuwa sawa lakini maji! tena maji yanayoingioa pole pole ndani ya ndege?
Serekali kaeni kimya msituzidishie machungu
Alafu eti anasema ndio maana serekali ilifanya kila njia kuhakikisha wanapunguza madhara. Dah!
Kwani hao wote unawataja si wanatoka humo humo kwenye hilo dampo moja la wapigaji? Kumbuka tuko wengi tunaoamini Tanzania haitoboi kama genge hilo hilo litaendelea kung'ang'ania kubaki madarakani hata kama uwezo na sifa hawana. Huyo huyo Rostamu Azizi si aliyewahi kuitwa gamba la kuvuliwa, Magufuli alimkaribisha Ikulu na hivi sasa yuko wapi?Kikwete alisafiri tukamsimanga Magufuli hakusafiri tukamsimanga Samia anasafiri tunamsimanga hizi siasa ndio alizisema Rostam Azizi kuwa za "Maji taka".
Mimi naimani hata leo NCCR wakitoa Raisi tutalalamika tu.Kwani hao wote unawataja si wanatoka humo humo kwenye hilo dampo moja la wapigaji? Kumbuka tuko wengi tunaoamini Tanzania haitoboi kama genge hilo hilo litaendelea kung'ang'ania kubaki madarakani hata kama uwezo na sifa hawana. Huyo huyo Rostamu Azizi si aliyewahi kuitwa gamba la kuvuliwa, Magufuli alimkaribisha Ikulu na hivi sasa yuko wapi?