peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Msemaji wa Serikali Mungu anakuona.Msemaji Mkuu wa Serikali amesema hayo na kuongeza kuwa watu wanaolalamika na kuhoji juu ya kutotumika Helikopta katika uokoaji kwenye ajali ya Ndege ya Pecision Air wapuuzwe.
Amesema Serikali haiwezi kuwa na dhamira ya kuacha wananchi waangamie pale majanga yanapojitokeza na ndiyo maana walitumia kila njia kuhakikisha wanapunguza madhara ya ajali.
View attachment 2410311