Msemaji wa Serikali: Helikopta zetu ni za usafirishaji siyo kuvutia Ndege au Meli

Laiti ningekuwa na uwezo,nijibadilishe niwe popo bawa,nimpitie huyu jamaa
 
Mwambie huyo msemaji aache ujinga! Nchi ina miaka zaidi ya 60 tangu ipate uhuru! Halafu wanashindwa hata kununua vifaa vya kisasa vya uokoaji!!

Kila siku kuchezea tu kodi za wananchi kwa kununua magari ya kifahari, na kupuyanga nje ya nchi as if wana miguu ya kuku. Bora hata angefunga mdomo wake.
 
Hii nchi ina vilaza wengi sana. Mmojawapo ni huyo msemaji wa serikali. Elimu ya kuunga unga, uchawa na unafiki umempa cheo ambacho kiko juu ya uwezo wake.
 
Njia zipi? Kumtuma majaliwa kule Dodoma?
 
Just imagine,ziliweza kununuliwa washawasha kila mkoa,ili kuwadhibiti wapiga kura baada ya uchaguzi.
Lakini wanashindwa kununua vifaa vya uokozi,ilihari kuna bajeti ya majanga na uokoaji kila mwaka,haileweki hizo fedha zinaishia wapi.
 
Heheheh
Na wale wanachi waliovuta ndege kwa kamba ni sehemu ya mpango wa serikali.

Msemaji yupo vyedi🤣
 
Gari "bovu na chakavu" la Magereza wilaya ya Kiteto mkoani Manyara limepata ajali eneo la Kaloleni na baadhi ya Wafugwa majeruhi wamekimbizwa hospitali ya Kiteto kwa matibabu.

Picha za gari iliyopata ajali
 

Attachments

  • 30E95330-DF15-422B-819B-45AD08598869.jpeg
    47.4 KB · Views: 2
  • D4EB9114-D62F-43C9-995C-E7099B016BF8.jpeg
    107.7 KB · Views: 1
Ajali hiyo iliyotokea jana Jumatatu Novemba 7, 2022 jioni katika eneo la Pori namba moja Kata ya Partimbo wilayani Kiteto mkoani Manyara imehusisha gari la wagonjwa kugongana uso kwa uso na gari dogo.
Kiteto. Idadi ya vifo vilivyosababishwa na ajali ya gari iliyotokea eneo la Pori Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara imefika saba baada ya majeruhi mmoja kufariki akiwa katika Hospitali ya Dodoma.
 

Attachments

  • 9ED20C0F-92BF-4C8C-AD25-265B37089EAE.jpeg
    40.6 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…