Msemaji wa Serikali: Helikopta zetu ni za usafirishaji siyo kuvutia Ndege au Meli

Nchi ina miaka zaidi ya 60 tangu ipate uhuru! Halafu wanashindwa hata kununua vifaa vya kisasa vya uokoaji!!
Magari ya maji ya kuwasha kila mkoa/wilaya. Haya ni mahsusi katika kuwashughulikia walipa kodi watakaothubutu kulikosoa hilo genge la walafi.
Kila siku kuchezea tu kodi za wananchi kwa kununua magari ya kifahari, na kupuyanga nje ya nchi as if wana miguu ya kuku.
V8 moja ni shilingi 600,000,000/= lakini hawa wezi wanahakikisha kila kiongozi wa CCM na serikali anazurura na V8...masikini kodi zetu.
 
Hivi Kuna mwanamchi alizungumzia helkopta kuhusika kuvuta ndege, zaidi watu waliona mitumbwi ingeweza kusababisha janga lingine kwa kuzidiwa na kuchukua mda mrefu, ndege ingefanya chapu yeye anasema kuvuta sijui mitumbwi ilivuta hiyo ndege
 
Serikali ingefanya kila njia wale 19 wasingefia pale. Kuna jitu lilikuwa linasema limewasiliana na Rubani wako salama Nonsense kabisa. Kukaa kimya ni busara.
 
Kikwete alisafiri tukamsimanga Magufuli hakusafiri tukamsimanga Samia anasafiri tunamsimanga hizi siasa ndio alizisema Rostam Azizi kuwa za "Maji taka".
 
Kikwete alisafiri tukamsimanga Magufuli hakusafiri tukamsimanga Samia anasafiri tunamsimanga hizi siasa ndio alizisema Rostam Azizi kuwa za "Maji taka".
Mwenyewe mzee was maj Taka... Kuanzia Dowons,escow mpk Richmond...kila dili Ki Azizi Yumo anakuwaje Msafi
 
Kama sijakosea hizo Chinook ndio zilizomfuata Osama kule kule Pakistan usiku na kumuua halafu wakaondoka na mwili wake.
Kama sijakosea hizo Chinook ndio zilizomfuata Osama kule kule Pakistan usiku na kumuua halafu wakaondoka na mwili wake.
Ina uwezo wa kubeba Watu hamsini na tano na tani kumi za mzigo hutumiwa sana na specia forces.
 
Wale ndugu zetu wanaopita na gwaride siku ya Uhuru, na sare zao na mitungi mikubwa migongoni walikuwa wapi wakati wa ajali?
 
W
Walitumia kila njia ipi? yakuvuta ndenge kwa mikono wakitumia kamba, au na uyo Dogo zilikua juhudi zao Kama sio za watu binafsi.

Bora ata ile kauli ya Waziri wa Ulinzi inaonesha Kama wizara wameona mapungufu , watayafanyia KAZI ,angalau inaleta mantiki Hata Kama hawatafanya.

Msemaji asituchanganye , kwani Serikali ikiomba radhi na kukili mapungufu huku ikitoa kauli ya kuyafanyia KAZI inapungukiwa na nini? Ukweli umuweka mtu huru,

Ni juzi tu Kama sio Rais kusema ukweli watu wachache ndani ya ccm / Serikali walitaka kuleta aibu ya karine,

Wakaanza sema sio ajali bali ni zoezi ,
 
na mitungi mikubwa migongoni walikuwa wapi wakati wa ajali?
Hata wangeajiriwa wazamia Pweza wa Pemba wanaweza sana Scuba diving bila mitungi.

Hivi vipaji vinapotea kwa kuajiri mashemeji kutoka usukumani ambao pengine hata Bahari hawajawahi kuiona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…