Msemaji wa Serikali: Helikopta zetu ni za usafirishaji siyo kuvutia Ndege au Meli

tunamkumbusha pia kuwa wananchi sio kazi yao kuvuta ndege na wala mitumbwi sio kazi yake yake kubeba raia waliopata ajali.
 
Dah unaweza kudanganya ubongo kwamba jamaa hili ni jiniasi ila moyo ukamgomea ubongo, ameshindwa hata kusema helkopta zilikuwa mbali na eneo la tukio?? Stress tulizonazo watanzania vyanzo vyake ni vingi
 
Tangu alipofariki Magufuli huyu Msigwa ni kama amewehuka fulani hivi. Kichwa chake hakiko sawa
 
Yuko Auditor mhanga wa ajali kaeleza vizuri jinsi mhudumu wa ndege alivyofungua mlango wa ndege khalafu abiria wakajiokoa wenyewe kutoka ndani ya ndege na baadaye kijiti cha uokozi kikapokelewa na wavuvi.
 
Wamegusia yote lakini wameacha kugusia kitu cha muhimu na cha kujifunza zaidi kutoka kwenye hii ajali na kinachothibitisha na kuexpose udhaifu wa serikali kiujumla. Kama mnajua kila helicopter inatengenezwa kwa matumizi maalum then kwanini tangu mwanzo msiwe na specialized helicopters kwa ajiri ya such emergencies? Mlikuwa wapi na Kwanini hamkujiandaa? Ina maana nchi nzima hakuna mtu hata mmoja anayejua kuhusu Aerial Cranes? Specialized Helicopter kwa ajili ya kunyanyua vitu vizito?. Kama nchi inaweza kunua Dreamliner 787 inayocost $200 million usd. Je mlishindwa kununua Aerial Crane moja isiyocosts zaidi ya $50 million usd ili kusaidia kwenye uokoaji?

Hii Helicopter inaweza kunyanyua mpaka Pounds 20,000. Kg 10,000.


Mnasema mnataka kupunguza madhara ya ajali lakini hapo hapo mnasema sio dhambi wananchi kuhatarisha maisha yao kufanya kitu ambacho hawana mafunzo nacho. Na mnasema kabisa mbinu zenu za uokoaji zitaendelea kushirikisha wananchi ambao ni untrained personnel for such specific dangerous and life threatening tasks.

Kama helicopters zilizopo zinaweza kusustain such weight and conditions basi zilikuwa more than efficient under such circumstance.
Life is more important than objects lakini Kama mnaweza kushirikisha untrained citizens na wao kuhatarisha maisha yao. Je kulikuwa na tofauti gani na kutumia unspecified helicopters kuperfom and aiding such an emergency?

Maisha ni muhimu kuliko chombo au kitu chochote kile na hii ni weak justification for such an irresponsible act.​
 
Pumbavu kabisa huyu jamaa.

Anaongea nini huyu pumba tupu.
 
Mjomba mita 100 ilishawahi kutokea China tena Panton hakutoka mtu na vifaa vya kila aina..mengine tumuachie mungu tuu
 
Kikwete alisafiri tukamsimanga Magufuli hakusafiri tukamsimanga Samia anasafiri tunamsimanga hizi siasa ndio alizisema Rostam Azizi kuwa za "Maji taka".
Kwani hao wote unawataja si wanatoka humo humo kwenye hilo dampo moja la wapigaji? Kumbuka tuko wengi tunaoamini Tanzania haitoboi kama genge hilo hilo litaendelea kung'ang'ania kubaki madarakani hata kama uwezo na sifa hawana. Huyo huyo Rostamu Azizi si aliyewahi kuitwa gamba la kuvuliwa, Magufuli alimkaribisha Ikulu na hivi sasa yuko wapi?
 
Mimi naimani hata leo NCCR wakitoa Raisi tutalalamika tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…