peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Msemaji wa Serikali Mungu anakuona.Msemaji Mkuu wa Serikali amesema hayo na kuongeza kuwa watu wanaolalamika na kuhoji juu ya kutotumika Helikopta katika uokoaji kwenye ajali ya Ndege ya Pecision Air wapuuzwe.
Amesema Serikali haiwezi kuwa na dhamira ya kuacha wananchi waangamie pale majanga yanapojitokeza na ndiyo maana walitumia kila njia kuhakikisha wanapunguza madhara ya ajali.
View attachment 2410311
Hiyo imani unaitoa wapi? Mimi si NCCR wala Chadema lakini nakuahidi, chama kingine kikitwaa madaraka, yapo mambo ya msingi lazima yabadilike. Kuendelea kuongozwa na CCM ni uhayawani...miaka zaidi ya nusu karne chama kile kile, watu wale na mawazo yale yale ni uenda wazimu.Mimi naimani hata leo NCCR wakitoa Raisi tutalalamika tu.
Hiyo imani unaitoa wapi? Mimi si NCCR wala Chadema lakini nakuahidi, chama kingine kikitwaa madaraka, yapo mambo ya msingi lazima yabadilike. Kuendelea kuongozwa na CCM ni uhayawani...miaka zaidi ya nusu karne chama kile kile, watu wale na mawazo yale yale ni uenda wazimu.
Tanzania spends 500bn Tsh,Each year kununua V8 ,ni planning tu hakuna kinachoshindikana
Asiyeelewa ana chuki binafsiMsemaji Mkuu wa Serikali amesema hayo na kuongeza kuwa watu wanaolalamika na kuhoji juu ya kutotumika Helikopta katika uokoaji kwenye ajali ya Ndege ya Pecision Air wapuuzwe.
Amesema Serikali haiwezi kuwa na dhamira ya kuacha wananchi waangamie pale majanga yanapojitokeza na ndiyo maana walitumia kila njia kuhakikisha wanapunguza madhara ya ajali.
[emoji38][emoji38][emoji38]
Mfano mzuri ni Kenya wale wale waliokuwa KANU ndio waliongoza Kenya kwa kutumia Vyama vingine sisi hapa pia hilo linakuja hawa hawa akina Majaliwa Mwinyi Chupa mpya Mvinyo unakuwa uleule, labda tutaondoa jina CCM.Hiyo imani unaitoa wapi? Mimi si NCCR wala Chadema lakini nakuahidi, chama kingine kikitwaa madaraka, yapo mambo ya msingi lazima yabadilike. Kuendelea kuongozwa na CCM ni uhayawani...miaka zaidi ya nusu karne chama kile kile, watu wale na mawazo yale yale ni uenda wazimu.
Msemaji Mkuu wa Serikali amesema hayo na kuongeza kuwa watu wanaolalamika na kuhoji juu ya kutotumika Helikopta katika uokoaji kwenye ajali ya Ndege ya Pecision Air wapuuzwe.
Amesema Serikali haiwezi kuwa na dhamira ya kuacha wananchi waangamie pale majanga yanapojitokeza na ndiyo maana walitumia kila njia kuhakikisha wanapunguza madhara ya ajali.
The country have purchased 7+ aircrafts, Airbus e.t.c ,training and maintenance is not a problem at all it's issue of prioritiesI didnt say its impossible, i said it no joke, + unachonunua ni product ya europe. Buying is not an issue , training and maintenance.
Hivi tuna serikali au genge la wahuni waliojipa uongozi?Serekali wakiweza wakae kimya kabisa. Wasianze kabisa kubishana na watu kuhusu hili, ni busara ukiumbuka kukaa kimya yapite.
Yaani majanga yanatokea mita 100 kutoka airport mnashindwa kuokoa? Sasa mnakuwaga na fire na vikosi vya uokoaji vya nini. Ingekuwa watanzania wamekufa kwa kishindo au moto uliojitokeza ingekuwa sawa lakini maji! tena maji yanayoingioa pole pole ndani ya ndege?
Serekali kaeni kimya msituzidishie machungu
Alafu eti anasema ndio maana serekali ilifanya kila njia kuhakikisha wanapunguza madhara. Dah!