Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amuonya Maulid Kitenge kwa uzushi wake usiovumilika

Hii story mtu wa kwanza kuiripoti ni mtangazaji mmoja wa EAST AFRICA na baadae ikafika kwa Kitenge.. Kwani huyo Morrison ndio mchezaji wa kwanza kugombana na kocha katika dunia ya mpira..? Acheni mambo ya kishambashamba..
 
Ni Mnafiki sana na pia ndiyo Sifa Kuu ya karibia 99.9999% ya Mashoga wote Ulimwenguni.
Binadamu bwana, Basi tu. Unavyomjua Kitenge undani wake, wapo wanaokujua wewe undani wako kuliko hata unavyojijua wewe mwenyewe, wakiyafukunyua ya kwako utashangaa ndugu yangu. Ushauri wangu mambo ya Simba na Yanga yasitufanye kuishi maisha ya luchukiana na kutishiana hivi, siyo vizuri ndugu zangu. Tujaribu kuzuia hii mihemuko tuliokuwa nayo. Hizi timu zipo tangu Zama hizo na zitaendelea kuwepo tu, sisi Kama watz tushabikie hizo timu kwa staha tusiiehatarisha amani kisa ushabiki. Ni mtazamo wangu tu, kuenda kinyume na maono yangu rukhusa.
 
Nichafue nikuchafue!!
 
Manara usipende kugombana waandishi wa habari kila wakati mara Prisca anaihujumu simba nara Dauda anaihujumu simba mara Kitenge una natatizo fani unapenda kumrukia kila mtu Mwakalebela alipowakilisha ujumbe wake kwa Tff kutoka kujitoa mara ukarukia kumjibu Mwakalebela as if wewe ndio msemaji wa Tff hivi hukumbuki ulipojifanya msemaji wa familia ya Mo pale alipotekwa nini kilikupata lazima ujitafakari huwezi kudanganya watu kwamba wewe ndio mkereketwa wa simba kushinda wote nakuhakikisha vita na Kitenge unajisumbua utashindwa na kuabika
 
Heheheheh pambeeeh tyuuuh. Mambo ya uke wenza yana wenyewe haya lol.

Ila raha ya ndoa iwe na Uke wenza full kupeana challenge[emoji23], bi mkubwa akinunuliwa prado , bi mdogo wataka Range Rover , sitaki mie warumi

Ila binamu hakuna mwanaume mtamu duniani kama mume wa mtu , wana ka utam flan hiv special na wanajua kuhonga balaa[emoji23]
 
Kwenye Mpira Kuna rumors na gossip ndo Raha ya mpira Sion kosa la kitenge tuachen ujinga
 
Alafu ni mjinga kwenye football kuna gossip na rumors mbona hatuoni vilabu vya ulaya vikikashirika tatizo la manara upeo mdogo sana na ni mjinga
 
Acha ushamba mfano pierse Morgan ni mshabiki kindakindaki wa Arsenal na still anakula mikataba minono kwenye media tatizo kubwa la Tanzania exposure ndogo, kitenge ametoa habari kosa lake ni nin tuacheni mambo ya kiswahili
 
Akizidiwa anakuwa lialia ili aonewe huruma. Fala sana huyu yeye anavyoishambulia yanga mbona anapotezewa.
Tatizo la manara anaaminigi Yuko sahii kuitukana yanga, lakin ilitokea kwa Simba anakua mbogo in short hajui maana ya utani
 
Acha ushamba mfano pierse Morgan ni mshabiki kindakindaki wa Arsenal na still anakula mikataba minono kwenye media tatizo kubwa la Tanzania exposure ndogo, kitenge ametoa habari kosa lake ni nin tuacheni mambo ya kiswahili
Sasa kama Wewe ni Mzungu ( Kimatendo na Kitabia ) mbona unaishi nasi sote tu hapa Uswahilini Tandale Uzuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…