Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amuonya Maulid Kitenge kwa uzushi wake usiovumilika

Anatufunwa?
Au anadili chafu za unga?
Maana hata mimi simuelewi maana karibu kila baada ya muda mfupi utasikia yupo USA.
 
Kitenge kaandika hayo kwenye ukurasa wake binafsi, kwa nini mnaihusisha Wasafi FM? Mara ngapi Haji anaandika upuuzi kuhusu Yanga kwenye kurasa zake na watu hawaihusishi klabu ya Simba? Haji anapenda kusifiwa na kuandikwa vizuri tu! Hivi karibuni amechafua ' brand' ya Yanga na bado amekuwa jeuri na kiburi zaidi! Haji ni nani nchi hii? Aache mikwara mbuzi, Simba itaandikwa na kusemwa kwa mazuri na mabaya yake!
 
Thibitisha kuwa Kitenge ni afisa kipenyo.
Yaani wewe mtu akiwa tofauti na wewe tu unamuhisi unavyojisikia wewe?
Maofisa kipenyo hawapo kama unavyodhani mzee......muangalie vizuri baba au mamaako,au mkata majani au mdada wenu wa kazi kama yupo na ana umri mkubwa kidogo......hapo unaeza kuta upo na mtaalam kuliko huyu unaemuhisi.
 
Morrison kalizua tena
Wakili msomi

Kwa simba hii atasugua sana
 
Taarifa kuhusu morrisson ni kweli kabisa
 
Kaambie, kanajigamba kanasiri kubwa, wakati hizo nchi zinajua kila kitu cha afrika.
Hata unapopewa visa tu ushachunguzwa mpaka familia yako.
 
Amezoea sana Kitenge, Simba wamemvumilia muda mrefu na kwa tabia zake ni wazi.ana chembechbe.za kichawi
 
Ni wa kupuuzwa tu huyo na hata huyo Morrison aki part away ataleta madhara gani?

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…