Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amuonya Maulid Kitenge kwa uzushi wake usiovumilika

Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amuonya Maulid Kitenge kwa uzushi wake usiovumilika

Huyu msengerema wako kaishia kulia kulia tu hapa..
IMG_20210310_195545_952.jpg
 
Habari!

Nimemsikiliza huyu Haji Manara kwa kipindi kirefu sana kama msemaji wa Simba Sc ila watani zangu naona kwa uropokaji huu utamgharimu Haji Manara mwenyewe pia hata kwa timu yake.

Wanachama wa Simba Sc / Wamatopeni fanyeni haraka kumshauri huyu ndugu yenu kabla hajachelewa na kulalamika huko mbele.

Kwa uropokaji huu ni aibu kwa yeye binafsi pia kwa Club yake pia.

Nawasilisha Mzee Mkoloni

Cc: Kichwa Kichafu
 
Huwezi tarajia mtu anayewakilisha taasisi kubwa kama Simba kuropoka namna ile aisee!

So lack of professionalism.
kumbe manara ni mkubwa nchi hii, ok lakini tusisahau ni mshabiki mnazi wa timu anayoifanyia kazi

ata mimi au wewe viongozi wa sekta ya kabumbu kwa njia moja ama nyingne tumewapa kila aina ya matusi
 
Back
Top Bottom