Msemo gani unatumia kujifariji baada ya kumaliza pesa kwa matumizi ya kijinga au starehe?

Mwanaume hafi njaa anachelewa kula tu.....
 
Kufungwa nimefungwa ila nimepiga chenga za kutosha sana.
 
The best way to stop smoking is to not start at all.

Pesa za starehe zinatakiwa kuwa katika bajeti yake, na kama huwezi kuimudu, unatakiwa kuwa na mazingira ya kumali,a starehe kibao nyumbani bika gharama kubwa.

Hata kununua nyama ukachoma nyumbani huku unasikiliza muziki ukala na familia ni starehe kubwa tu.

Ukishindwa hata kufanya mazoezi ya kukimbia au kutembea ni starehe.
 
2020 kwetu pazuri tabata enzi hizo dj micho yuko on fire. 500k down the drain, ( beer na nyama choma ivi tu ilikua , mwanangu musti nae alikua kwenye supply alichanika kama 300k . Asbuhi yake skujiskia vibaya wala sababu wale ni wanangu way back since kindergattern. Ilikua boys to men ( party (no ladies) wawindaji haramu walikua full kupiga macho meza yetu lakini sisi hatukuwa na shobo nao hata)
 
2007 huko.
Na wanangu tumekula gambe then ile kuamka asubuhi hata hela ya kunywa supu hatuna.

Ila usiku tulikua na kauli yetu " nani kaiona kesho" kuna wimbo unahiko kibwagizo ila sisi mpaka leo ndio kauli yetu ya kujitia moyo tukiwa tumeshatumia hela vibaya.
 
Mkuu
Kuna moments za ujanani lazima uzipitie,,,hauwezi kuwa salama kwenye kila kitu.
 
Mbona pesa ya kawaida sana hiyo.
 
Mkuu
Kuna moments za ujanani lazima uzipitie,,,hauwezi kuwa salama kwenye kila kitu.
Kupitia muhimu, nilishapitia sasa hivi naangalia mchezo kama kocha.

Kuna siku niliingia Webster Hall hapo New York City, peke yangu, nikamaliza some $400 in a few hours kwenye drinks alone, hata sijui nilikunywa nini. Na hii ni kama miaka 20 iliyopita $400 ilikuwa na shepu. And that's not even the worst. Nikasema hapa nisipojipanga vizuri nitakuwa mpangaji kwa watu siku zote. Nikaweka mkakati wa kuhamia kwangu na kukamilisha.

Ndiyo maana unaona sasa nakuja na stories za kishua kuchoma nyama na familia nyumbani huku unasikiliza muziki, kufanya mazoezi, etc.
 
Yah,huwa inasaidia kutufunza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…