Kwa nafasi ya simba kwenye ligi inaonyesha asivyokua na faida kwenu japo mnamsifia sana,Ni kweli Mkuu, Chama hana mazara yoyote... ila kwa madhara anayoleta naona kabisa kuna siku atasababisha maafa makubwa uwanjani.
The man was on fire today, he deserves so.Chama man of the match
Ngassa, Tshishimbi, kamusoko ndio wachezaji wa mechi nzito au?mchezaji wa mechi nyepesi..ndio maana Zambia hawaendi AFCON 2019
Wenzetu ni wajanja kama tulivyo mabingwa watetezi wa TPL, Simba SC.. hawafanyi usajili bila ya kumskauti mchezaji kwa mda mrefu tofauti na wanavyofanya Yanga SC ambao usajili wao huangalia picha za mchezaji.
Ila yanga mnapenda masihara, yani hako katoto kenu ambako bado kana maziwa ya mama kifuani mnataka kukafananisha na CCC? mtakuwa mnaugua kichaa sio siri, kama mirembe hamna nafasi basi tutawapeleka Lutindi mental hospital ipo korogwe.Huyo hata kwa fei toto anakaa,
Hujui mpira wewe, wee baki mwite mtoto tu km jina lakeIla yanga mnapenda masihara, yani hako katoto kenu ambako bado kana maziwa ya mama kifuani mnataka kukafananisha na CCC? mtakuwa mnaugua kichaa sio siri, kama mirembe hamna nafasi basi tutawapeleka Lutindi mental hospital ipo korogwe.
Hivi fei akija simba unafikiri anaweza kuanza? Atamuweka nani bench aanze yeye? Kotei? Mkude Simba? Chama? MO? Punguza unafiki uende mbinguni wewe.Hujui mpira wewe, wee baki mwite mtoto tu km jina lake
Wote hao hamna atakaemuweka fei bench watasubiri sana, labda kocha afanye upendeleoHivi fei akija simba unafikiri anaweza kuanza? Atamuweka nani bench aanze yeye? Kotei? Mkude Simba? Chama? MO? Punguza unafiki uende mbinguni wewe.
Mkuu fanya kuwahi mirembe au Lutindi mental hospital kama nilivyotoa ushauri hapo awali.Wote hao hamna atakaemuweka fei bench watasubiri sana, labda kocha afanye upendeleo
Kuandika lolote una uhuru, ila ukweli haujifichi hata siku mojaMkuu fanya kuwahi mirembe au Lutindi mental hospital kama nilivyotoa ushauri hapo awali.
Siku yaja ambayo utang'amua kuwa moja ya ushauri bora kabisa uliopata mwaka huu ulio ukingoni ndio huu wa kuwahi hiyo tiba kabla mambo hayajawa mabaya zaidi, wanasema binadamu wote ni wehu ila tunatofautiana kwenye viwango vya uwehu.Kuandika lolote una uhuru, ila ukweli haujifichi hata siku moja
Akili ndogo inataka kuuzidi akili kubwa [emoji23][emoji23]Siku yaja ambayo utang'amua kuwa moja ya ushauri bora kabisa uliopata mwaka huu ulio ukingoni ndio huu wa kuwahi hiyo tiba kabla mambo hayajawa mabaya zaidi, wanasema binadamu wote ni wehu ila tunatofautiana kwenye viwango vya uwehu.
Yaani nilivyosoma tu hayo majina nikahisi waganga wa kienyejiNgassa, Tshishimbi, kamusoko ndio wachezaji wa mechi nzito au?
Yaani nilivyosoma tu hayo majina nikahisi waganga wa kienyeji