Mshabiki mwezangu wa soka, unamzungumziaje Clotous Chota Chama?

Mshabiki mwezangu wa soka, unamzungumziaje Clotous Chota Chama?

Ni kweli Mkuu, Chama hana mazara yoyote... ila kwa madhara anayoleta naona kabisa kuna siku atasababisha maafa makubwa uwanjani.
Kwa nafasi ya simba kwenye ligi inaonyesha asivyokua na faida kwenu japo mnamsifia sana,
 
Maneno ya kumuelezea MTU ambae hajawahi kumuona chama akamuelewa sidhani kama yashaumbwa kiukweli jamaa anastahili kuvaa viatu vya Matic wa Chelsea enzi hizo
 
Wenzetu ni wajanja kama tulivyo mabingwa watetezi wa TPL, Simba SC.. hawafanyi usajili bila ya kumskauti mchezaji kwa mda mrefu tofauti na wanavyofanya Yanga SC ambao usajili wao huangalia picha za mchezaji.

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila yanga mnapenda masihara, yani hako katoto kenu ambako bado kana maziwa ya mama kifuani mnataka kukafananisha na CCC? mtakuwa mnaugua kichaa sio siri, kama mirembe hamna nafasi basi tutawapeleka Lutindi mental hospital ipo korogwe.
Hujui mpira wewe, wee baki mwite mtoto tu km jina lake
 
Hujui mpira wewe, wee baki mwite mtoto tu km jina lake
Hivi fei akija simba unafikiri anaweza kuanza? Atamuweka nani bench aanze yeye? Kotei? Mkude Simba? Chama? MO? Punguza unafiki uende mbinguni wewe.
 
Hivi fei akija simba unafikiri anaweza kuanza? Atamuweka nani bench aanze yeye? Kotei? Mkude Simba? Chama? MO? Punguza unafiki uende mbinguni wewe.
Wote hao hamna atakaemuweka fei bench watasubiri sana, labda kocha afanye upendeleo
 
Kuandika lolote una uhuru, ila ukweli haujifichi hata siku moja
Siku yaja ambayo utang'amua kuwa moja ya ushauri bora kabisa uliopata mwaka huu ulio ukingoni ndio huu wa kuwahi hiyo tiba kabla mambo hayajawa mabaya zaidi, wanasema binadamu wote ni wehu ila tunatofautiana kwenye viwango vya uwehu.
 
Akili ndogo inataka kuuzidi akili kubwa [emoji23][emoji23]
 
KWA ANYEBISHA KUHUSU UWEZO WA CHAMA HUYO HAUJUI MPIRA. JAMAA YUPO VIZURI NA UCHEZAJI WAKE NI WA KIPEKEE. NINGEKUWA KOCHA WA SIMBA MBELE NINGEANZA NA OKWI NA KAGERE WAKATI BOKO ANASUBIRI MPAKA DAKIKA YA 30 KIPINDI CHA PILI. NYUMA YAO ANAKUWA DILUNGA NA CHAMA WAKATI KICHUYA ANASUBIRI KIPINDI CHA PILI. NA NYUMA YAO TENA NAKUWA NA MKUDE NA KOTEI WAKATI BEKI NAKUWA NA KAPOMBE, MOHAMED HUSSEIN, WAWA NA NYONI. KOCHA AKIWEZA KUTENGENEZA MUUNGANIKO HUU UKAIVA VIZURI HAPO KAZI KWISHA HATA AJE MWARABU ATAPATA TABU.

CHAMA AMEKAMILIKA KWA KILA KITU KWA WAHENGA WENZANGU WATAKUMBUKA BURUDANI YA MTU ALIYEKUWA ANAITWA HAMISI GAGA "GAGARINO" PALE ALIPOKUWA ANAKAMATA DIMBA LA KATI.

KAMA KUNA MTU BADO ANA WASIWASI NA UWEZO WA CHAMA ATAFUTE CLIP ZAKE ZA MAGOLI ALIZOWAFUNGA MBAMBANE, AFRICAN LYON NA KAMA SIKOSEI STAND UNITED AONE AINA YA MAGOLI ANAYOFUNGA KATIKATI YA MSITU WA MABEKI WA TIMU PINZANI BILA WASIWASI. NI WACHEZAJI WACHACHE SANA DUNIANI WENYE UWEZO WA KUFUNGA MAGOLI YA AINA HIYO.
 
Back
Top Bottom