Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Kocha amuweke Chama kwenye nafasi ya Ushambuliaji ili awe anapinduapindua mabeki na kufunga magoli mengi.
Na kuleta Shagwe hapa duniani
Na kuleta Shagwe hapa duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa ni world class player.Kocha amuweke Chama kwenye nafasi ya Ushambuliaji ili awe anapinduapindua mabeki na kufunga magoli mengi.
Na kuleta Shagwe hapa duniani
Chama anawalazimisha hata washambiliaji wawe na njaa ya magoli.Huyu jamaa ni world class player.
Kucheza Ulaya wakati mwingine ni bahati na uwezo wa kwenda huko au kujitangaza kwao.
Kuna wachezaji wanauwezo wa kucheza Ulaya na hawajabahatika tu kufika huko.
Na pia kuna wachezaji wanacheza Ulaya na viwango vyao ni vibovu tu.
CCC ana uwezo wa kucheza popote pale hapa ulimwenguni.
Sina hakika kama msimu ujao huyu jamaa tutakuwa nae, nafikiri uongozi wa Simba umuite ukae nae uongeze nae mkataba lakini uweke kipengele cha kumuuza endapo itapatikana klabu itakayomuhitaji,hii itaisaidia simba kutengeneza hela kupitia yeye.Chama anawalazimisha hata washambiliaji wawe na njaa ya magoli.
Kwanza kwa kuwapa pasi maridadi kabisa za mwisho, na pili yeye anafunga magoli wakati sio mshambuliaji.
Huyu jamaa ni burudani kwa wote, walioko uwanjani na wanaotizama runingani, na shauri wagonjwa wenye maumivu makali siku simba inacheza wapelekwe uwanjani, jamaa anauwezo mkubwa wa kuwapunguzia maumivu yao kila wamtizamapo awapo na mpira.Wale mbwa wa polisi pale taifa huwa wanatulia kabisa huku wakimwangalia chama anacheza mpira
Mchezaji wa kawaida tu uyo
Acha kuteseka
Huyu ukitoa Zidane na Gaucho HAKUNA mwingine ...[emoji119][emoji119]Remember The Name Triple C Mwamba Wa Lusakaa..[emoji91][emoji91][emoji119][emoji119]View attachment 975564