Mshabiki mwezangu wa soka, unamzungumziaje Clotous Chota Chama?

Mshabiki mwezangu wa soka, unamzungumziaje Clotous Chota Chama?

Tunawasifu sana wachezaji ni sawa Ila tuwaangalie sana kwa makini huyu kocha mkuu na yule kocha wa viungo ningependa kujua huko mazoezini wanafanya nini maana team imebadilika sana hata wakianza kufungwa bado hawakati tamaa
 
Huwa nakosa Maneno mazuri ya kumuongelea 27' Chama, naamini Simba anapita tu, Huyu ni wa Genk, Cardif Au Nice huko.

Tumemuona fundi wa Mpira Katika kelele Chake, Haruna Niyozima, tumemuona Kamusoko lakini Chama ni zaidi.

Binafsi nikimuangalia Chama nawaona kwa wakati mmoja Fundi wa mpira Iniesta, Pirlo na Scholes.

Chama anakera na kufurahisha kwa wakati Mmoja.
 
Huko Zambia aliwachanganya washabiki wao wakati wengine wakifurahia maufundi yake wengine walikuwa wakisikitika timu yao kutolewa, wengine wanajuta kwanini alijiunga na timu ambayo itakuja kucheza na timu ya Zambia kiukweli ameacha mkanganyiko mkubwa hawa ndio wachezaji wanatakiwa kuchezea simba akili mingi
 
Na kwa kuwa sisi huwa hatubani pesa ikija tunauza
Huwa nakosa Maneno mazuri ya kumuongelea 27' Chama, naamini Simba anapita tu, Huyu ni wa Genk, Cardif Au Nice huko.

Tumemuona fundi wa Mpira Katika kelele Chake, Haruna Niyozima, tumemuona Kamusoko lakini Chama ni zaidi.

Binafsi nikimuangalia Chama nawaona kwa wakati mmoja Fundi wa mpira Iniesta, Pirlo na Scholes.

Chama anakera na kufurahisha kwa wakati Mmoja.
 
TUKIACHA USHABIKI PEMBENI, LAITI IBRAHIM AJIBU ANGEJITAMBUA AKAACHA UVIVU NA AKAJITUMA NA KUFANYA MAZOEZI YA ZIADAMWENYEWE SASA HIVI TUNGEKUWA TUNABISHANA HAPA KATI YA AJIBU NA CHAMA NANI ZAIDI. LAKINI KWA SASA AJIBU ANASUBIRI SANA KWA CHAMA KWANI HII MASHINE YA ZAMBIA NI HABARI NYINGINE. NA SIKU AMBAYO AUSEM ATAKUJA KUFANYA MAAMUZI MAGUMU YA KUWAPANGA OKWI, KAGERE, CHAMA NA DILUNGA KWA PAMOJA AKAMTUPA BOKO BENCHI NDIO SIKU MAAFA YATAKUWA YANAANZA LIGI KUU KWANI KUNA TIMU ZITAKULA HATA GOLI TANO.
 
Back
Top Bottom