Thread imenifanya nikumbuke stori ya job mate ambaye mke wake alikuwa anataka afahamu mshahara wake ili jamaa akipata mshahara mwisho wa mwezi wakae na mke wake ili wapange matumizi ya mwezi, kitu ambacho jamaa alikuwa hataki na mwisho wa siku mke alitumia njia za panya Kama hizi akajua mshahara wa mumeweSalaam Wakuu.
Samahani, Yeyote mwenye kutambua viwango vya Mishahara ya hawa jamaa hasa kwa hawa walioanza Kazi Mwaka huu, naomba kujuzwa.
Najua Mshahara ni siri hivyo ni ngumu sana kupata Majibu sahihi kwa watu unaoishi nao Mtaani ila humu inaweza kua rahisi
Angalizo; Mimi si Askari na sina nia mbaya (Naomba jibu tu Kiroho Safi huna Jibu Kausha)
Karibuni🙏
Una akili wewe Jamaa😅, Ila me nimejiridhisha ni kweli sijadanganywa ni vile tu siwezagi amin KE moja kwa moja.Thread imenifanya nikumbuke stori ya job mate ambaye mke wake alikuwa anataka afahamu mshahara wake ili jamaa akipata mshahara mwisho wa mwezi wakae na mke wake ili wapange matumizi ya mwezi, kitu ambacho jamaa alikuwa hataki na mwisho wa siku mke alitumia njia za panya Kama hizi akajua mshahara wa mumewe
Duuuh! almost nusu ya mshahara ni makato?Basic 500k
Akikatwa inakuja 300+
Makato ni 21% ya basic salary🤣🤣🤣Duuuh! almost nusu ya mshahara ni makato?
Aisee...
Hakika mkuuAAjira za Serkali bwana ni Utumwa sana.
Hakika mkuu makato ni Kama hiviAAjira za Serkali bwana ni Utumwa sana.