Mshahara: Askari Magereza anaeanza kazi na Cheti cha Kidato cha Nne

Mshahara: Askari Magereza anaeanza kazi na Cheti cha Kidato cha Nne

Nilisikia wao hupata marupurupu kupitia wafungwa. Kwa mfano wafungwa wanaotolewa kwenda kufanya kazi za nje, lazima watoe posho kidogo.

Pia wake zao huwa wanapika chakula, so wale wafungwa ambao wako na noti unakuta wanawekewa bili ya menu ili wasile kile cha ndani.

All in all askari jela ndo askari mwenye maisha magumu i think kupita askari wote.

Tupate kibwagizo kutoka kwa mwanadada ASA -MR. JAILER
"Stop calling me a prisoner, you a prisoner too, mr jailer..."

Angalizo.
Sina ushahidi juu ya hili.
 
Warden nadhani itakuwa imefika 500k kabla ya makato
Then kuna allowance 300k kila mwezi

Kinachowatofautisha na vyombo vingine ni virushwa vya hapa na pale

Sasa mfungwa atatoa wapi cha juu boss [emoji23]

Na pia kwa hawa vijana wadogo wengi wanashindana balaa kila mtu anajifanya wa kishua ndio maana wengi unaona kama wanapitia msoto mkali
 
Hiyo 300k wanapewa wote?
 
Back
Top Bottom