hjakalljcjxnxlhzkzmxjkxnx
Senior Member
- Jan 17, 2020
- 121
- 265
Kinachowatofautisha na wenzao ni hela ya pembeniKo kama 800k in total, Kama inawatosha bwana.
Unaona Rais anavyopokea habari za kubambikiana kesi sasa iyo ni mianya ya kupeana cha juu kutoka kwa mtuhumiwa
Sasa jiulize mfungwa anatoa wapi cha juu masaa yote yupo ndani