Mshahara: Askari Magereza anaeanza kazi na Cheti cha Kidato cha Nne

Ndo hivyo,ila watu wengi hawajuagi hilo,wao walishakariri ni JW tu,ndo huwa wanaenda mission za UN.
Issue za UN hadi uhamiaji wanakwenda siku hizi sio issue.

Magereza pia wamo.

Hapa wanamzungumzia Warder sijui Warden mwenye certificate.

Inaonekana watu hawajui mishahara yao lakini mkuu kwa nini uulizie mishahara kwani na wewe mfanyakazi?
 
Lakini kubaliana namimi kua watu wengi wamekariri kua ni JW tu,ndo huenda.
Yeah! Ni kweli boss, tena polisi huwa wana kazi nyepesi na zenye risky kidogo.

Polisi wakienda UN wanakula shavu sana. Hawana mikiki mikiki.

Kuna jamaa yangu aliitwa kufanya PKO refresher course ya kujiandaa kwenda mission. Wakawa wanafundishwa kutumia zile Armoured Personnel Carriers ( APCs) pale kilele pori akaanza kutamba eti wanafundishwa mpaka kutumia vifaru vya kivita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nikamwambia acha ujinga hizo ni delaya za kivita siyo vifaru.
 
Ndo hivyo mkuu,hivi huwa wanazingatia levo ya elimu,kuwapeleka kwenye mission,au hata form four tu,anaweza akaenda akipata mafunzo?
 
Hakika mkuu makato ni Kama hivi
PAYE=11%ya basic salary
PSSSF=5%ya basic salary
NHIF=3%ya basic salary
VYAMA vya wafanyakazi inategemeana na sekta uliyo ajiriwa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nhif hawakatwi huwa wanalipiwa na serikali
 
Basic salary 538,000
Makato
Payee 20,000
Pssf 27,000
Saccos yao 30000
Nhif -wanalipiwa na serikali

Take home kama 461,000

Posho mbali mbali
Chakula na vinywaji 300,000
Ration allowance 300,000 kwa miezi mitatu ambayo ni 100,000 kila mwezi

Jumla ya posho ni 400,000/=

Jumla ya pesa kwa mwezi ni 861,000/=
 
Basic salary 538,000
Makato
Payee 20,000
Pssf 27,000
Saccos yao 30000
Nhif -wanalipiwa na serikali

Take home kama 461,000

Posho mbali mbali
Chakula na vinywaji 300,000
Ration allowance 300,000 kwa miezi mitatu ambayo ni 100,000 kila mwezi

Jumla ya posho ni 400,000/=
Kumbe wanapata inayotosha.
 
Yeah! Ni kweli boss, tena polisi huwa wana kazi nyepesi na zenye risky kidogo.

Polisi wakienda UN wanakula shavu sana. Hawana mikiki mikiki.

Kuna jamaa yangu aliitwa kufanya PKO refresher course ya kujiandaa kwenda mission. Wakawa wanafundishwa kutumia zile Armoured Personnel Carriers ( APCs) pale kilele pori akaanza kutamba eti wanafundishwa mpaka kutumia vifaru vya kivita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nikamwambia acha ujinga hizo ni delaya za kivita siyo vifaru.
20230713_185455-1.jpg

Na akishikishwa machine kama hii si ataenda hadithia kakutana kitu cha space x
 
Salaam Wakuu.

Samahani, Yeyote mwenye kutambua viwango vya Mishahara ya hawa jamaa hasa kwa hawa walioanza Kazi Mwaka huu, naomba kujuzwa.

Najua Mshahara ni siri hivyo ni ngumu sana kupata Majibu sahihi kwa watu unaoishi nao Mtaani ila humu inaweza kua rahisi

Angalizo; Mimi si Askari na sina nia mbaya (Naomba jibu tu Kiroho Safi huna Jibu Kausha)

Karibuni🙏
Sawa, ila kuna kampuni moja ya ulinzi wanalipa 650k jiongeze upande na kushuka
 
Back
Top Bottom