Mshahara: Askari Magereza anaeanza kazi na Cheti cha Kidato cha Nne

Jumlisha vizuri ili utuambie jumla ni shilingi ngapi. Hesabu darasa la kwanza.
 

Kumbe kuna afadhali kidogo na je kwa wanaoingia na profession ngazi ya diploma au degree? Mfano mtu ameajiriwa uko na Kada yake ni MD au Civil Engineers
 
Kidogoo wewe Umempa moyoo jamaaa.. Itakuwa unaijua kazi vilivyoo[emoji16][emoji16][emoji16] Hapo bado kuna rushwaaa mbali mbalii za kutoshaaa.
 
Kidogoo wewe Umempa moyoo jamaaa.. Itakuwa unaijua kazi vilivyoo[emoji16][emoji16][emoji16] Hapo bado kuna rushwaaa mbali mbalii za kutoshaaa.
Askari magereza rushwa anaipata wapi?
 
Kumbe kuna afadhali kidogo na je kwa wanaoingia na profession ngazi ya diploma au degree? Mfano mtu ameajiriwa uko na Kada yake ni MD au Civil Engineers
Medical doctor ni 1.5m
Clinical officer 900k
Engineering sijui

Posho
Professional allowance 15%
Kitengo zahanati ya jeshi 15%
Pango kama anakaa nje 15%
Ration allowance 300,000
Chakula na vinywaji 100,000
 
Medical doctor ni 1.5m
Clinical officer 900k
Engineering sijui

Posho
Professional allowance 15%
Kitengo zahanati ya jeshi 15%
Pango kama anakaa nje 15%
Ration allowance 300,000
Chakula na vinywaji 100,000

Ok nimekupata uzuriii mzee.
 
Hiyo Aya ya Kwanza chai...maana mfungwa kutoka nje kutanyishwa mikazi migumu ni lazima atake asitake.. Kama una hela au connection ndio unatoa ili usitoke hata nje kwenyewe
 
Kinachowatofautisha na wenzao ni hela ya pembeni

Unaona Rais anavyopokea habari za kubambikiana kesi sasa iyo ni mianya ya kupeana cha juu kutoka kwa mtuhumiwa

Sasa jiulize mfungwa anatoa wapi cha juu masaa yote yupo ndani
Mfungwa kuwa na hela sio jambo la ajabu....pia magerezani wahuni wanafanya biashara Kama kawa
 

Nimekausha, ila Kama unapanga kufanya hayo makazi Mungu akusaidie, kazi za zuluma sana na uonevu hizo.
 
Kubwa inawatosha kumbe waache kulia lia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…