Mshahara laki 8 ili upate maendeleo inatakiwa watoto wasome shule za serikali. Tazama huyu baba anavyoteseka

Mshahara laki 8 ili upate maendeleo inatakiwa watoto wasome shule za serikali. Tazama huyu baba anavyoteseka

MELEKAHE

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2023
Posts
1,340
Reaction score
5,588
kama huna njia nyingne za kujipatia pesa hata ujifunge mkanda hutakaa hujenge had watoto wamalize shule

1739784225903.png
 
elimu hii bado haina connectedness na who we are supposed to align with,kusomesha shule ya private nje ya uwezo hakumaanishi kwamba wewe ndio champion ktk eneo la kumjenga mtoto,if u deeply dig ni UTUMWA ULIO RUDI KWA MLANGO WA NYUMA,afanye research ndogo tu kwa kizazi hiki cha yes no akikitazama vizuri kinaweza kufanya nini cha kuikomboa Afrika????

asiishi kwa mkumbo ambao wazazi wengi wamebebwa wakati hata huo uwezo haufiki,atajikuta anasucrifice na kubaki na wounds ambazo hatoweza kuzitibu hapo baadae ambazo in return atazihamishia kwa hao hao watoto maana atajikuta hapati matokeo yanayoendana na matokeo aliyo yatarajia,ELIMU ni zaidi ya inayotolewa darasani,

elimu inaanzia nyumbani kwao,mama/baba anapaswa kuwa ni mwalimu mkuu wa kizazi,mitaala hii ya kizungu inatupa highlight tu ila hatukuumbwa ili tuishi kwa mitaala ya kizungu,kama anaweza kunielewa ni apeleke shule ambayo imo ndani kabisa ya uwezo wake na abaki na uwezo wa savings ambazo atamudu kuzigeuza na kuwa investment,life needs more than hiyo inayoitwa elimu ya mzungu!!!
 
Somesha shule unayoimudu usije tesa watoto kukaa nyumban kwa kukosa ada, kula kwa urefu wa kamba yako ukilazimisha kula vya mbali utajinyonga bure!!😂😂😂😂

Do what you can afford kwakweli mambo ya kukopa Ili usomeshe shule za Gharama it doesn't make any sense at all !!!

Mateso mengi kwa asilimia kubwa yanatokana na aina ya maisha tunayochangua na maamuzi tunayofanya kwenye maisha.
 
Nashangaa sana wazazi wanaojifilisi kwa madeni kisa kupeleka watoto English Medium

English Medium ni Kayumba inayotumia English. Kama huna uwezo wa kumpleka mtoto International Schools kwenye mitaaala ya kimataifa hakuna haja ya kujitia stress na izo EMs

Wazazi wakumbuke izo EMs na Kayumba wote wanatumia mtaala mmoja sema mmoja anaufundisha kwa kiswahili na mwingine kwa kingereza
 
elimu hii bado haina connectedness na who we are supposed to align with,kusomesha shule ya private nje ya uwezo hakumaanishi kwamba wewe ndio champion ktk eneo la kumjenga mtoto,if u deeply dig ni UTUMWA ULIO RUDI KWA MLANGO WA NYUMA,afanye research ndogo tu kwa kizazi hiki cha yes no akikitazama vizuri kinaweza kufanya nini cha kuikomboa Afrika????

asiishi kwa mkumbo ambao wazazi wengi wamebebwa wakati hata huo uwezo haufiki,atajikuta anasucrifice na kubaki na wounds ambazo hatoweza kuzitibu hapo baadae ambazo in return atazihamishia kwa hao hao watoto maana atajikuta hapati matokeo yanayoendana na matokeo aliyo yatarajia,ELIMU ni zaidi ya inayotolewa darasani,

elimu inaanzia nyumbani kwao,mama/baba anapaswa kuwa ni mwalimu mkuu wa kizazi,mitaala hii ya kizungu inatupa highlight tu ila hatukuumbwa ili tuishi kwa mitaala ya kizungu,kama anaweza kunielewa ni apeleke shule ambayo imo ndani kabisa ya uwezo wake na abaki na uwezo wa savings ambazo atamudu kuzigeuza na kuwa investment,life needs more than hiyo inayoitwa elimu ya mzungu!!!
Kwani anasomesha mtoto aikomboe Africa kwani wewe umesoma shule gani na kwanini mpaka Leo hujaikomboa Africa?
 
Kikawaida inatakiwa unapoanza kusomesha mtoto angalau uwe na kwako na siyo Bado umepanga.kadiri watoto wa kusomesha wanavyoongezeka na vitega uchumi wako uongezeke tofauti na Hivyo wasomeshe shule za serikali ambazo watoto wa viongozi wakubwa wa serikali hawapelekwi huko Kwa kuwa wanajua huko hakuna kitu
 
Tatizo shule za Serikali wanafunzi ni wengi sana, darasa lina Wanafunzi 200.
Na tatizo mitoto ya siku hizi haina akili na wazazi wanawadekeza sana

Wengi tumesoma hizo shule, darasa moja watoto 300 na tulifaulu vizuri,

O-level kayumba darasa moja watoto 100+ na tulifaulu vizuri

A-Level kayumba tukakutana na hao waliopitia privates bado tukawaburuza

Vyuoni serikali ikatupa kipaumbele kwenye mikopo tuliopitia kayumba kuanzia mwanzo

Baada ya chuo wote tukakutana kwenye kukimbizana na ajira za serikali
 
Back
Top Bottom