elimu hii bado haina connectedness na who we are supposed to align with,kusomesha shule ya private nje ya uwezo hakumaanishi kwamba wewe ndio champion ktk eneo la kumjenga mtoto,if u deeply dig ni UTUMWA ULIO RUDI KWA MLANGO WA NYUMA,afanye research ndogo tu kwa kizazi hiki cha yes no akikitazama vizuri kinaweza kufanya nini cha kuikomboa Afrika????
asiishi kwa mkumbo ambao wazazi wengi wamebebwa wakati hata huo uwezo haufiki,atajikuta anasucrifice na kubaki na wounds ambazo hatoweza kuzitibu hapo baadae ambazo in return atazihamishia kwa hao hao watoto maana atajikuta hapati matokeo yanayoendana na matokeo aliyo yatarajia,ELIMU ni zaidi ya inayotolewa darasani,
elimu inaanzia nyumbani kwao,mama/baba anapaswa kuwa ni mwalimu mkuu wa kizazi,mitaala hii ya kizungu inatupa highlight tu ila hatukuumbwa ili tuishi kwa mitaala ya kizungu,kama anaweza kunielewa ni apeleke shule ambayo imo ndani kabisa ya uwezo wake na abaki na uwezo wa savings ambazo atamudu kuzigeuza na kuwa investment,life needs more than hiyo inayoitwa elimu ya mzungu!!!