Mshahara laki 8 ili upate maendeleo inatakiwa watoto wasome shule za serikali. Tazama huyu baba anavyoteseka

Mshahara laki 8 ili upate maendeleo inatakiwa watoto wasome shule za serikali. Tazama huyu baba anavyoteseka

elimu hii bado haina connectedness na who we are supposed to align with,kusomesha shule ya private nje ya uwezo hakumaanishi kwamba wewe ndio champion ktk eneo la kumjenga mtoto,if u deeply dig ni UTUMWA ULIO RUDI KWA MLANGO WA NYUMA,afanye research ndogo tu kwa kizazi hiki cha yes no akikitazama vizuri kinaweza kufanya nini cha kuikomboa Afrika????

asiishi kwa mkumbo ambao wazazi wengi wamebebwa wakati hata huo uwezo haufiki,atajikuta anasucrifice na kubaki na wounds ambazo hatoweza kuzitibu hapo baadae ambazo in return atazihamishia kwa hao hao watoto maana atajikuta hapati matokeo yanayoendana na matokeo aliyo yatarajia,ELIMU ni zaidi ya inayotolewa darasani,

elimu inaanzia nyumbani kwao,mama/baba anapaswa kuwa ni mwalimu mkuu wa kizazi,mitaala hii ya kizungu inatupa highlight tu ila hatukuumbwa ili tuishi kwa mitaala ya kizungu,kama anaweza kunielewa ni apeleke shule ambayo imo ndani kabisa ya uwezo wake na abaki na uwezo wa savings ambazo atamudu kuzigeuza na kuwa investment,life needs more than hiyo inayoitwa elimu ya mzungu!!!
100% Fact
 
Somesha shule unayoimudu usije tesa watoto kukaa nyumban kwa kukosa ada, kula kwa urefu wa kamba yako ukilazimisha kula vya mbali utajinyonga bure!!😂😂😂😂

Do what you can afford kwakweli mambo ya kukopa Ili usomeshe shule za Gharama it doesn't make any sense at all !!!

Mateso mengi kwa asilimia kubwa yanatokana na aina ya maisha tunayochangua na maamuzi tunayofanya kwenye maisha.
Fact
 
Nashangaa sana wazazi wanaojifilisi kwa madeni kisa kupeleka watoto English Medium

English Medium ni Kayumba inayotumia English. Kama huna uwezo wa kumpleka mtoto International Schools kwenye mitaaala ya kimataifa hakuna haja ya kujitia stress na izo EMs

Wazazi wakumbuke izo EMs na Kayumba wote wanatumia mtaala mmoja sema mmoja anaufundisha kwa kiswahili na mwingine kwa kingereza
100% Fact
 
kama huna njia nyingne za kujipatia pesa hata ujifunge mkanda hutakaa hujenge had watoto wamalize shule

View attachment 3239070
Watu wangu waangamia kwa kukosa maarifa:Kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa,Mimi NAMI nitakukataa Wewe,usiwe kuhani kwangu Mimi;Kwa kuwa umeisahau Sheria ya Mungu wako,Mimi NAMI nitawasahau watoto wako(Hosea 4:6).
 
Mambo madogo hayo kwa tuliosoma kayumba tunaelewa, muhimu ufahamu wa mtoto kama ana ufahamu vizuri mtoto wako wtamzidi huyo wa english medium
Fact. Halafu kwanza watoto wakiwa wengi ndio Wana enjoy. Watoto shuleni wanaenda kucheza na kufurahia utoto wao zaidi kuliko kusoma.
 
kama huna njia nyingne za kujipatia pesa hata ujifunge mkanda hutakaa hujenge had watoto wamalize shule

View attachment 3239070
Hata ww Elimu ya maisha huna unasemea laki 8 au elfu nane watu wanalipwa laki 3 Wana nyumba na watoto wapo medium jichunguze kwanza Kuna watu wanapata MILION 5 na mwingine MILION Moja halafu wa MILION Moja kiuchumi alivyojiwekeza yupo juu sana kenga tabia ya kujiwekeza kwanza sio MSHAHARA mkubwa Nina visa 102 nipo tiyari kuku shushia
 
Na tatizo mitoto ya siku hizi haina akili na wazazi wanawadekeza sana

Wengi tumesoma hizo shule, darasa moja watoto 300 na tulifaulu vizuri,

O-level kayumba darasa moja watoto 100+ na tulifaulu vizuri

A-Level kayumba tukakutana na hao waliopitia privates bado tukawaburuza

Vyuoni serikali ikatupa kipaumbele kwenye mikopo tuliopitia kayumba kuanzia mwanzo

Baada ya chuo wote tukakutana kwenye kukimbizana na ajira za serikali
Fact
 
elimu hii bado haina connectedness na who we are supposed to align with,kusomesha shule ya private nje ya uwezo hakumaanishi kwamba wewe ndio champion ktk eneo la kumjenga mtoto,if u deeply dig ni UTUMWA ULIO RUDI KWA MLANGO WA NYUMA,afanye research ndogo tu kwa kizazi hiki cha yes no akikitazama vizuri kinaweza kufanya nini cha kuikomboa Afrika????

asiishi kwa mkumbo ambao wazazi wengi wamebebwa wakati hata huo uwezo haufiki,atajikuta anasucrifice na kubaki na wounds ambazo hatoweza kuzitibu hapo baadae ambazo in return atazihamishia kwa hao hao watoto maana atajikuta hapati matokeo yanayoendana na matokeo aliyo yatarajia,ELIMU ni zaidi ya inayotolewa darasani,

elimu inaanzia nyumbani kwao,mama/baba anapaswa kuwa ni mwalimu mkuu wa kizazi,mitaala hii ya kizungu inatupa highlight tu ila hatukuumbwa ili tuishi kwa mitaala ya kizungu,kama anaweza kunielewa ni apeleke shule ambayo imo ndani kabisa ya uwezo wake na abaki na uwezo wa savings ambazo atamudu kuzigeuza na kuwa investment,life needs more than hiyo inayoitwa elimu ya mzungu!!!
Ushauri mzuri Sana hakika
 
Mbona mimi mshaahara laki 5 na mtoto namlipia milion mbili ada bila mkopo. Maisha nikujipanga laki 8 kubwa sana kwa mwaka ni milion 9

Milion 7 tumia milion mbili somesha unashindwa nini?
 
Mimi anasoma ada 2.1M na mwingine 1.2M. Sio kila mtu amepanga nyumba, wengine ni wenye nyumba, tunachukua kodi, na mshahara no kama huo
Hakuna mwenye nyumba anaeitwa " Lupweko"
 
Kuna mdau take home ni laki 4.5 na Ana watoto 4 kitu cha ajabu watoto wote kidumu na mfagio aka kayumba yupo unique mnoooo na watoto wapo vzr shule, nilichoiga kwake ni jinsi alivyojipanga kwaajili ya watoto anasema hataki kulaumiwa anataka mtoto age ya 18 awe tayari na biashara. Maisha anayoishi kila mtu hakosi maswali ni mtu wakujituma kwenye kilimo,, sas swala la mtoto kumpeleka English medium ni uigaji wa maisha, ni vyema kila mwez ufanye Seving ya watoto wanapofika muda wa kujitambua waweze kujitetea kwa kilichopo maisha Kuna Leo na kesho!

Kwa kila mwezi nilikuwa naweka 50000 katika acount ya mtoto kumbe nilikuwa nachelewa nikaenda likizo nikamkuta ndugu yangu anauza miti ya miaka 5 anapewa MILION 5 mara Eka 5 =25 Milioni ikabidi nifuatitilie ile michakato nikatoa pesa niliyokuwa na save nikachukua Eka 3 nikapanda mpaka sasa nakuwa naongeza vieka vya miti kidogo kidogo zenyew Zina Fanya saving nzuri sana ya pesa na return yake ni nzuri
 
Back
Top Bottom