Mshahara umetoka hakuna incriment hakuna nyongeza!

Ujuaji mwingi hakuna kitu kichwani sasa wewe na yeye si inaonekana mko level moja ya ujinga "MISHAHA" ndio nini??
Tanganyika yangu jamani kila mjinga ujiona ni msomi dah!!
Hahaha thank you very much. Yaani mtu akiteleza tu kuandika ndo iwe big deal. Hii ni social media tu sio sehemu ya kujifanya official kihivyo
 
Mama anaupiga mwingi. Subirini kidogo. Ataongeza muda wowote kuanzia sasa.
 
Lini msharaha utatosholesha mahitaji yako yote fungua hata duka la kuuzavitenge na vyupii tu
 
Ndo hivyo yaani kama walivyosema tutawaongeza kimya kimya tusubiri[emoji377][emoji377]
Kulikuwa na haja gani kutangaza ahadi ya nyongeza ya mshahara kama hapakuwa na dhamira ya dhati kuitimiza? Wanazidi kuthibitisha siasa ilivyo mchezo mchafu! Ni ulaghai mtupu!
 
Sio kweli!
 
Serikali inahitaji watumishi waongeze ufanisi ili kuboresha maslahi na watumishi wanahitahi kuboreshewa maslahi ili waongeze ufanisi kwa hiyo tupo kwenye mkwamo
Nilikua napita mjini kuangalia hela yetu against dollar kwakweli hali ni mbaya sn ..tena mno. .enzi za marehemu dollar ilikua 2300 sasa 2550 soon tutaebda 3000...very very hatariiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…