Mshahara umetoka hakuna incriment hakuna nyongeza!

Vitu vimepanda bei

Huwezi kupandisha pay kwa sababu ya cost of living pekee, huyo mtu ni productive au garbage? Baada ya hapo ndio unaangalia gharama ya maisha baada ya kuona tija!


Sisi tunataka salary kubwa, kuna tija au watu wanachati tu online na kuendeleza vi rushwa na uvivu?
 
[emoji16][emoji16] hakuna unachokijua Bora ungekaa kimyaa
 

"incriment" ndio nini mkuu. Hata ningekuwa mimi ndio muongeza mishaha nisingekuongeza wewe kwa kuwa unaonekana mweupe kichwani. Hatuna neno "incriment" sijui umelitoa wapi​

Nawe Hilo neno mishaha linamaanisha Nini? Au ndio Yale ya nyani haoni ........ ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…