Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeambiwa mwarabu ana hela hamtaki kusikia na hamumtaki. Sasa nyongeza itoke wapi?Hii ni habari ya kushangaza kidogo, baada ya kuangukiwa na kizito kizito Cha 23%=Mwaka Jana! Sasa tuliambiwa annual increment kuanzia Julai. Lakini mshahara umetoka na haina hiyo increment!
Ila sisi Wafanyakazi .....
!
Yaani picha lipo wazi ila bado eti tunashangaa! Hela ya increments anayo DPWMmeambiwa mwarabu ana hela hamtaki kusikia na hamumtaki. Sasa nyongeza itoke wapi?
Mmeambiwa mwarabu ana hela hamtaki kusikia na hamumtaki. Sasa nyongeza itoke wapi?
Side hustle mzee ..na madili meusiHivi wafanyakazi wa serikali mnaishi vipi? mtu kashakopa mpaka 1/3, mshahara hauzidi milioni ata moja tu, ana familia, anajenga, ana gari, na bata hapohapo? how? maana nimeshaona salary slip kama 3 hivi inatia mashaka. Lakini hapohapo kuna wengine wana mpaka ma prado mapya kabisa how? kuna kitu gani nisichokielewa?
cadre gani mmeongezewa .....?cadre gan hamjaongezewa?
Hakika broo,hawa CCM sio wa kuwaamini kwa lolote walinenaloUsije ukamuamini mwanasiasa tofauti na marehem.....
Itakuwa Huyu ni Mfanyakazi wa TICS LIMITED, au CHADEMHii ni habari ya kushangaza kidogo, baada ya kuangukiwa na kizito kizito Cha 23%=Mwaka Jana! Sasa tuliambiwa annual increment kuanzia Julai. Lakini mshahara umetoka na haina hiyo increment!
Ila sisi Wafanyakazi .....
!
Labda itabaki kama arrears..Hii ni habari ya kushangaza kidogo, baada ya kuangukiwa na kizito kizito Cha 23%=Mwaka Jana! Sasa tuliambiwa annual increment kuanzia Julai. Lakini mshahara umetoka na haina hiyo increment!
Ila sisi Wafanyakazi .....
!
Channels,connections ,michongo ya Giza...sometimes bahati tu!Hivi wafanyakazi wa serikali mnaishi vipi? mtu kashakopa mpaka 1/3, mshahara hauzidi milioni ata moja tu, ana familia, anajenga, ana gari, na bata hapohapo? how? maana nimeshaona salary slip kama 3 hivi inatia mashaka. Lakini hapohapo kuna wengine wana mpaka ma prado mapya kabisa how? kuna kitu gani nisichokielewa?
Nmb salary Bado hawatoa labda Kam upo bank tofauti na hiiMkuu njaa isikufanye kuwa.mpumbavu...nrnda benk kachukue mshahara ulipe hayo madeni...pumb...fun!