Mshahara umetoka lakini hakuna mabadiliko!

Mshahara umetoka lakini hakuna mabadiliko!

Hii ni habari ya kushangaza kidogo, baada ya kuangukiwa na kizito kizito Cha 23%=Mwaka Jana! Sasa tuliambiwa annual increment kuanzia Julai. Lakini mshahara umetoka na haina hiyo increment!
Ila sisi Wafanyakazi .....

!
Annual increment kuanzia July 2023 haikumaanisha kuwa watumishi wote watapata tarehe hiyo bali kila mtumishi ana tarehe yake ya hiyo annual increment. Mfano kama uliajiriwa tarehe 1 January 2020 basi annual increment yako itakuwa tarehe 1 January 2024 na hivyo mabadiliko utayaona mshahara wa January 2024 na kama uliajiriwa tarehe 1 July 2020 annual increment yako ni tarehe 1 July 2023 na mabadiliko utayaona mshahara wa mwezi huu wa July. Huo ndiyo utaratibu usiwe na papara.
 
Ka enjoyini tu jumamosi mjipooze jumatatu muanze kupiga miyayo. Ila rushwa mpige kidogokidogo maana hamna namna.
 
Back
Top Bottom