Mshahara umetoka lakini hakuna mabadiliko!

Hii ni habari ya kushangaza kidogo, baada ya kuangukiwa na kizito kizito Cha 23%=Mwaka Jana! Sasa tuliambiwa annual increment kuanzia Julai. Lakini mshahara umetoka na haina hiyo increment!
Ila sisi Wafanyakazi .....

!
Mkawaamini CCM??
 
CCM mbele kwa mbeleee 🎶🎶🎶

Back
Top Bottom