Nimepata meseji ya NMB saa 4 asubuhi.Nmb salary Bado hawatoa labda Kam upo bank tofauti na hii
Enjoy it
Kifupi ,ni huzuni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimepata meseji ya NMB saa 4 asubuhi.Nmb salary Bado hawatoa labda Kam upo bank tofauti na hii
Enjoy it
Sawa,ngoja nianze kuoga kabisa nitoe na bike nkakojolee litoto la watu Kum.....Nimepata meseji ya NMB saa 4 asubuhi.
Kifupi ,ni huzuni.
Kama ni kweli, basi mpaka jioni watakuwa wamepata watumishi wote.Nimepata meseji ya NMB saa 4 asubuhi.
Kifupi ,ni huzuni.
Si mumuombee lissu awape sindo anawapa kiburiHii ni habari ya kushangaza kidogo, baada ya kuangukiwa na kizito kizito Cha 23%=Mwaka Jana! Sasa tuliambiwa annual increment kuanzia Julai. Lakini mshahara umetoka na haina hiyo increment!
Ila sisi Wafanyakazi .....
!
Kiufupi ni bora wewe ambaye hujajua una amani ya moyo, siku ukij7a yanayoendelea huko na ukawa na moyo thabiti wa kizalendo, nakuapia unaweza kuondoka kwa presha. Nchi tajiri sana hii, South cha mtoto.Hivi wafanyakazi wa serikali mnaishi vipi? mtu kashakopa mpaka 1/3, mshahara hauzidi milioni ata moja tu, ana familia, anajenga, ana gari, na bata hapohapo? how? maana nimeshaona salary slip kama 3 hivi inatia mashaka. Lakini hapohapo kuna wengine wana mpaka ma prado mapya kabisa how? kuna kitu gani nisichokielewa?
Ya kiasi gani?Walimu kuna nyongeza
Siku hizi umekua msengerema kinoma bwana mdogo. Unaandika matope kupita kiasi.Si mumuombee lissu awape sindo anawapa kiburi
Kwa ufupi hata tusipolipwa mshahara kazi hatuachi na maendeleo tutafanyaHivi wafanyakazi wa serikali mnaishi vipi? mtu kashakopa mpaka 1/3, mshahara hauzidi milioni ata moja tu, ana familia, anajenga, ana gari, na bata hapohapo? how? maana nimeshaona salary slip kama 3 hivi inatia mashaka. Lakini hapohapo kuna wengine wana mpaka ma prado mapya kabisa how? kuna kitu gani nisichokielewa?
Ahahahha nimekula asaliSiku hizi umekua msengerema kinoma bwana mdogo. Unaandika matope kupita kiasi.
Daaa😂😂😂😂Kwa ufupi hata tusipolipwa mshahara kazi hatuachi na maendeleo tutafanya
Mkuu unalipwa na posho au ndo hiyo tu mchezo umeisha?Ata mimi mkuu sijaona ongezeko lolote lile.View attachment 2695976
Twende tukaitumie wote mzee baba😋Ata mimi mkuu sijaona ongezeko lolote lile.View attachment 2695976
Acha kebehiMkuu unalipwa na posho au ndo hiyo tu mchezo umeisha?
Nchi hii JK aeleze wazi aliwezaje kwa miaka yote kumi kufuata sheria ya increment?Hii ni habari ya kushangaza kidogo, baada ya kuangukiwa na kizito kizito Cha 23%=Mwaka Jana! Sasa tuliambiwa annual increment kuanzia Julai. Lakini mshahara umetoka na haina hiyo increment!
Ila sisi Wafanyakazi .....
!