Fernando Wolle
JF-Expert Member
- Aug 19, 2022
- 387
- 770
Mtajua wenyewe, walimu ni mafala sana huwa wanawaabudu wanasiasa sana. Mnachagua viongozi wa CWT ambao ni submissive kwa Serikali. Hii serikali unapopambania Maslahi ya Watumishi haitakiwi kubembelezwa. Sasa kiongozi anaandika waraka mrefu zaidi ya ule wa Waebrania amejaza sifa za kiongozi. Mtaendelea kuchezewa mpaka mnastaafu, mpaka mtakufa.