Mshahara umetoka lakini hakuna mabadiliko!

Hv increment huwa ni kiasi kikubwa ee cha kuongelewa kiasi hiki?!!!! Nafikiri wengi ni kati ya 10k - 30k, tena hiyo ni kabla ya makato.
 
Hii ni habari ya kushangaza kidogo, baada ya kuangukiwa na kizito kizito Cha 23%=Mwaka Jana! Sasa tuliambiwa annual increment kuanzia Julai. Lakini mshahara umetoka na haina hiyo increment!
Ila sisi Wafanyakazi .....

!
Si mumuombee lissu awape sindo anawapa kiburi
 
Kiufupi ni bora wewe ambaye hujajua una amani ya moyo, siku ukij7a yanayoendelea huko na ukawa na moyo thabiti wa kizalendo, nakuapia unaweza kuondoka kwa presha. Nchi tajiri sana hii, South cha mtoto.
 
Kwa ufupi hata tusipolipwa mshahara kazi hatuachi na maendeleo tutafanya
 
Hii ni habari ya kushangaza kidogo, baada ya kuangukiwa na kizito kizito Cha 23%=Mwaka Jana! Sasa tuliambiwa annual increment kuanzia Julai. Lakini mshahara umetoka na haina hiyo increment!
Ila sisi Wafanyakazi .....

!
Nchi hii JK aeleze wazi aliwezaje kwa miaka yote kumi kufuata sheria ya increment?
Having Haiingii akilini hata kidogo wafanyakazi wamekuwa vikaragosi'alijisemea Hayati Augustino Mrema',kwa maana wafanyakazi wamekuwa wanyonge hasa chini ya mwamvuli wa TUCTA, shirikisho la wafanyakazi hewa kabisa.
Sasa hivi watakuja na tamko la kijinga baada ya kupewa rehearsal na serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ