Fernando Wolle
JF-Expert Member
- Aug 19, 2022
- 387
- 770
Ktk inchi hii wafanyakazi wa umma ndio wanadharaulika sana na wanasiasa!Hii ni habari ya kushangaza kidogo, baada ya kuangukiwa na kizito kizito Cha 23%=Mwaka Jana! Sasa tuliambiwa annual increment kuanzia Julai. Lakini mshahara umetoka na haina hiyo increment!
Ila sisi Wafanyakazi .....
!
SUBIRINI DP WORDL AANZE KAZI TUTAKUSANYA TRIL.26 MISHAHARA ITAPANDAHii ni habari ya kushangaza kidogo, baada ya kuangukiwa na kizito kizito Cha 23%=Mwaka Jana! Sasa tuliambiwa annual increment kuanzia Julai. Lakini mshahara umetoka na haina hiyo increment!
Ila sisi Wafanyakazi .....
!
HAKUNA CHOCHOTEUko taasisi gani?
Mbona wengi bado?
Hata hivyo, sitashangaa kama kweli hakuna kilichoongezeka.
Sio muongo ... Alieema kweli kwamba mambo ni moto , mambo fire kimya kimya... Hukuelewa ???kazi ya moto ni kuunguza. Nyie endeleeni kusombwa na malori kupelekwa kujaza viwanja vya mikutano Yao... Hilo ndilo fungu lenu !!Mama muongo nyie hakuna kitu
Nje ya mada,hii ni mil mbili ama laki mbili? Watumishi achaneni na mikopo ya ajabu ajabu. Mpwayungu VillageAta mimi mkuu sijaona ongezeko lolote lile.View attachment 2695976
[emoji1787][emoji1787]Nimemisi cocktails za paradiso na mandazi ya jehanamu achana na grants za kuzimu
Hivi wafanyakazi wa serikali mnaishi vipi? mtu kashakopa mpaka 1/3, mshahara hauzidi milioni ata moja tu, ana familia, anajenga, ana gari, na bata hapohapo? how? maana nimeshaona salary slip kama 3 hivi inatia mashaka. Lakini hapohapo kuna wengine wana mpaka ma prado mapya kabisa how? kuna kitu gani nisichokielewa?