Kaudunde Kautwange
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 1,644
- 1,648
FormulaNaomba kwa wenye utalamu wa kujua kwa mtumishi mwenye mshahara 2,116,000. Na kafanya kazi kwa miaka 32.
Kwa kikokotoo hiki kipya
1 atalipwa keshi tshs ngapi?
2 pesa ya kila mwezi atakuwa anachukua kiasi gani
Naomba kwa anaejua anisaidie
Kwa kutumia formula hii, utapata kiwango atakacholipwa baada ya kustaafu, yaani mafao yake ya mkupuoFormula
[1/580]×N×APE×12.5×33%
Where:
1/580 = accrual factor
APE = The best three years avarage salary
12.5 =Avarage life expectancy after retirement
33% = pension lumpsum at retirement
N = Number of months contributed
Monthly pensionFormula
[1/580]×N×APE×12.5×33%
Where:
1/580 = accrual factor
APE = The best three years avarage salary
12.5 =Avarage life expectancy after retirement
33% = pension lumpsum at retirement
N = Number of months contributed
Nyakati hizi za kikokotoo atakula 45M nyingine tunamtunzia
Ahaaaaaaaaaaaa nitadanganya nikisemaWewe ndiye Voice of Tanzania sema tusikie
Poa asantNgoja nikuwekee formula hapa
Ukiweza nifanyie calculationMkuu, nashindwa kuweka picha.. itaka storage permission, sasa sijui namna ya ku grant hiyo permission access
Asante ila kutafuta ni kaziFormula
[1/580]×N×APE×12.5×33%
Where:
1/580 = accrual factor
APE = The best three years avarage salary
12.5 =Avarage life expectancy after retirement
33% = pension lumpsum at retirement
N = Number of months contributed
Kabla hujafikisha miaka 60,na kustaafu hakikisha una chanzo cha kipato, pension iwe mbadala tu, kama unategemea uishi kwa pension na wewe hukua senior officer serikalini,lazima tutakuzika mapema,Naomba kwa wenye utalamu wa kujua kwa mtumishi mwenye mshahara 2,116,000. Na kafanya kazi kwa miaka 32.
Kwa kikokotoo hiki kipya
1 atalipwa keshi tshs ngapi?
2 pesa ya kila mwezi atakuwa anachukua kiasi gani
Naomba kwa anaejua anisaidie
amesota sana mpaka kafikia hapo anaweza kuwa kafanya kazi 20 years ndio kafikia daraja la mwishoduuh pesa nyingi hyo watu wanafaidi
aaah hapo sawa mkuu kumbe ni safari ndefu hvo aiseeamesota sana mpaka kafikia hapo anaweza kuwa kafanya kazi 20 years ndio kafikia daraja la mwisho
Mkuu,Asante ila kutafuta ni kazi
Kutafuta pesa ya kila mweziMkuu,
Kutafuta nini sasa??
Pole sana mkuu..Kutafuta pesa ya kila mwezi
Pesa nitakayolipwa kwa mkupuo mkuu
Walimu wanastaafu wanapiga 3.5m huwa unadhani wanapokea laki 5bila shaka alikuwa mkuu wa shule
Mkuu wa Shule Hana mshahara tofauti na wenzake wenye level (elimu na seniority) mojabila shaka alikuwa mkuu wa shule
Kumbe ndo maana mnaumwa magonjwa ya moyoNikistaafu lazima kiinua mgongo changu ninunue trekta la kulima mashamba yangu tu.
Nataka nikapige kazi kijijini.
Sikodishi kwa mtu lisije likaharibika.
Napiga kazi miaka mitatu na kujihakikishia ushindi.
Massey Ferguson used.