Mshahara wa Daktari ni kiasi gani?

Bado hajakatwa Loan board
 
TANESCO, ATCL ni mashirika yanayoongoza kwa huduma mbovu na hasara lakini mtu mwenye
diploma huyo MD haoni ndani
Simply put, theoretically ni mashirika yanayozalisha pesa/business regardless na vitabu vya wahasibu na CAG kuhusu kupata hasara, hata MD wa international organization au corporate analipwa pakubwa sana compared na wa huko local government.
 
Dah unaumiza kweli.
Huyo Maiko ni yule maiko wa mwanza
 
We bado mtoto kwenye ulimwengu wa uendeshaji wa makampuni.

Kwa kifupi, hiyo hasara inatokana na vitu vingi mfano kuna madeni mengi ya nyuma (refer Rais Samia speech)

Pia, hasara inapigiwa hesabu baada ya kulipa gharama zote including mishahara.
 
Simply put, theoretically ni mashirika yanayozalisha pesa/business regardless na vitabu vya wahasibu na CAG kuhusu kupata hasara, hata MD wa international organization au corporate analipwa pakubwa sana compared na wa huko local government.
Unadhani lingekuwa shirika binafsi linapata hasara lingeendelea au lingefungwa!?
Hiyo hela wanayojilipa inatoka kwa shirika au walipa kodi!?
Wewe unaweza kutoa hela ya nyumbani kwako umlipe muuza duka/ mfanyakazi wako
mamilioni wakati duka linapata hasara!?
Sio lazima ucomment kama huelewi mambo true capitalist
 
We bado mtoto kwenye ulimwengu wa uendeshaji wa makampuni.

Kwa kifupi, hiyo hasara inatokana na vitu vingi mfano kuna madeni mengi ya nyuma (refer Rais Samia speech)

Pia, hasara inapigiwa hesabu baada ya kulipa gharama zote including mishahara.
Wewe ni mbulula ushawahi kuona kampuni ya private inajiendesha kwa hasara
kwa miaka na mikaka lakini bado inalipa wafanya kazi wake mamilioni !?
Kasome vizuri mambo ya true capitalist hicho unachokiongelea kampuni kupata
hasara na watu kuendelea kujilipa mishahara mikubwa nakijua Bureaucratic capitalist.

https://internationalviewpoint.org/spip.php?article2805

Kwani kazi za risk ni za afya pekee?

Watu wa afya mnajikutaga spesho sana.
Ndio ni risky, imagine. Outbreak ya ebola, COVID wakwanza kuumwa nani? HIV, watu wanajichoma na kumwagikiwa na damu kila kukicha. Kupigwa na vichaa Etc etc, kazi ta kudeal na watu ni ngumu na bado lawama kila mtu ana expect hao watu wawadekeze au wafanye kama wito, something is not right. Kuna mentality sio sahihi. Nilikataa huo ujinga muda sana.
 
Huku Chicago (penslinavia).
Phlebotomist (mdunga sindano) analipwa USD32/ day na miposho mingi.
Hapo Tanzania mnakwama wapi.
Acha uongo, Chicago ni jiji katima jimbo la Illinois, na Pennsylvania ni jimbo mji mkuu Philadelphia. Japo ni kweli minimum wage ya 32$ per hour ipo kwa watu hasa wafanyakazi wa afya ngazi ya chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…