Mshahara wa Dkt. Ndugulile akishaanza kazi WHO ni noma. Rais wa India akasome


Sasa mbona anakomaa na ubunge hadi mwakani?
 
kwan analipwa na jamuhuri ya muungano?
Hapana.

Nasema kwamba Watanzania wanaona huu mshahara ni mkubwa, kwa sababu mishahara ya Tanzania ni midogo.

Katika taasisi za kimataifa, kwa level ya Regional Director wa WHO, huo mshahara ni mdogo sana.

US kuna ma project Managers madogo tu kwenye vibenki tu wanapiga $150,000 - $200,000 kwa mwaka.

Kwa sekta ya afya aliyopo Ndugulile, hapa US kwenye pandemic kuna manesi tu wamepiga mpaka $250,000 kwa mwaka.
 
Watanzania tatizo letu tu wsmajinga sana, tunasukumiwa majanga waliyoyaanzisha wamagharibi tunajiona tumeshinda.
. Hivi lini tutatumia akili zetu?
 
Bongo si kuna wakurugenzi wanalipwa hadi milioni 45 kwa mwezi! Maana kuna kipindi wakati wa Magu mishahara yao ilishushwa lakini nahisi imerudi tena maana hapa katikati nilisikia kuna mashirika yaliruhusiwa kujipangia mishahara.
 
1. Una uhakika Waziri mkuu wa India analipwa 14M /mwezi?
Mbona pesa ndogo sana?
2. Ndungulile kuliowa 30m/mwezi ni pesa ndogo sana pia ukilinganisha na ukubwa na unyeti wa taasisi


Hiyo 30m/hata hapa nchini wapo watu wanavuta.

Je mbunge anavuta kwa mwezi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…