Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Tukumbushane mshahara huu wa December, ndiyo utakaotumika Christmas+Mwaka mpya, bila kusahau kulipia ada watoto 🙌

Mad Max
 
Kama kuna unayemjua na umehakikisha sawa,ila wote ninaowauliza live hakuna aliyepata zaidi ya humu JF tu
Ndiyo hata NMB wengine wamepata ila Mimi bado sijapata sijajua changamoto itakuwa nini
 
Kama kuna unayemjua na umehakikisha sawa,ila wote ninaowauliza live hakuna aliyepata zaidi ya humu JF tu
Mimi Kuna mtu kaniambia kapata NMB ila CRDB Kuna mtu nimeona amesema kwenye group ngoja niendelee kuwa mpole
 
Sijajua wanakudanya kwa faida gani ingawa mapolisi na wajeda ni exceptional

Back
Top Bottom