4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
TRA wanauwa biashara za watu ,Hakuna umasikini na laana mbaya kwenye maisha kama kuishi kwa kutegemea mshahara tu. Ni utumwa wa kisasa ambao ukichelewa kuustukia unakuwa katika hali mbaya sana baadae.
Oh.. kwa upande wa Tz hapa it's better kwenda hapo TPTC then wanakupa utaratibu wao kulingana na standards zao..Hebu niekeze mkuu ikiwezeknq hata mwka huu aanze
😂😂😂😂😂😂😂😂Huu uzi mara nyingi utauona unakua updated kuanzia tarehe 20 hivi mpaka 27 baada ya hapo wale wale waliokua wanalia lia hapa wanahamia kula kimasihara na uzi wa pombe mbali mblai wa mshana ikifika tarehe 10-17 hivi haooo wanahamia kwenye siasa wanatoa hasira zao weeee ukichanganya na kufulia sasa wanakua wakali wakali tuuu 😅😅
😂😂Haaaaahaaaa yani uzi unanifurahisha yani kila tarehe husika utauona
Kumbe Na wewe ni mwenzetu😅😅Hivi huu wa June hautachelewa kweli?😅 kama naiona tar 26 huko
Eeeh 😅Kumbe Na wewe ni mwenzetu😅😅
Wacha ndugu tujuaneEeeh 😅
NdiyoJamani bado?
Bado masaa 15 tu mshahara uingieJamani bado?
Mkuu, masaa 15 ni dakika 900 ujue. Yaani sawa na kuangalia mechi 10 non-stop.Bado masaa 15 tu mshahara uingie
Mshahara ukitoka ni Mwendo wa Kula Kuku Mzima..Ndiyo
Kuna wengine mshahara ushaisha kabla hata haujaingia Kwa account Kwa billsMshahara ukitoka ni Mwendo wa Kula Kuku Mzima..
After siku 2 tunaanza kula Robo Kuku
Baada ya Week tunakula viungo vya Ndani vya Kuku
Week ya Tatu tunakula Chakula cha Kuku sasa
Imagine hii week ya nne, tunatembea na kuonekana kama Kuku..
Ngoja uingine tuachane na huu uzi hadi tar 20 July.Kuna wengine mshahara ushaisha kabla hata haujaingia Kwa account Kwa bills