Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Taarifa kutoka TUCTA

Ndugu wafanyakazi napenda kuwataarifu kwamba kuanzia mwezi huu mishahara itakua ikitoka tarehe za mwisho wa mwezi yaani tarehe 28-30. Lengo la kufanya hivyo ni kuondoa gap lililopo kati ya tarehe za mishahara wa sektabinafsi na sekta za Umma. Mwenyekiti wa TUCTA kasema hayo leo wakati akipongeza kuongezeka kwa asilimia ya Kikokotoo kutoka asilimia 33 mpaka 40.
 
Aaah dah mkuu unassema kweli ?
 
Haina shida hata huko O level anawez tumia matokeo hayo..

Kwanza Marubani wengi hawana hata A level.. wengine waliosoma chuo kikuu wachache sana...

Usiwe na wasi.
Kwani mbali na urubani hakuna tofauti na hiyo kwenye sekta hiyo ambayo ni nzuri na ni payable?
Tuwaandae vijana wetu
Vipi kuhusu engineer huyu mtu wa matengenezo fursa zake zikoje katika sekta huyo
Nafikiri NIT wanayo hii ya ENGENEERING
 
Kwa taarifa nilizopata ni kwamba, mwezi huu serikali haina hela kwahiyo malipo ya mshahara tegemeeni kuanzia tar 25 na kuendelea baada ya serikali kuwa imekusanyakusanya
Haina hela wapi wakati juzi tu muamala wa Korea Kusini umesoma, na miamala ya gawio la mashirika ikajazia juu
 
Hii sekta ina fursa nyingi..

Mfano Engineers wamegawanyik ktk makundi mengi ila nitagusia mawili.

ANE na hao AE

sasa kibongo bongo ANE soko lao lipo Serikalini sana maana mifumo mingi kuanzia ya Radar ni ya Serikali pia na mitambo ya Sauti ya umbali kama vile VHF madude ya Automation kama ILS etc

Hao AE soko lao lipo both but sekta binafs ndio kuna ndege nyingi.. na wanahitajika sana, mfano mwaka juzi kama sikosei kuna usahili wa kupew scholarship ya kwenda kuwaandaa hao Engineers ili waje waisaidie Sekta ya Anga hapa nchini. Na iliratibiw na TCAA.

Pia watu kama wa ATMO, AIO pia ni marketable kwa pande zote Serikali kuu na Jeshini pia.. ila sekta binafsi si sana.

Flight dispatcher..
Ground Ops
Airport Operations
Aircraft Operations
Cabin Crew.. (Precision wanamtindo wa kuajiri wanafunzi wao ktk chuo chao watakao fanya vzr zaidi).
Pia kuna ishu ya Ticketing/Booking hapa ukiw na kampun nzr na mtaji mzr basi umeula..

Na pia Urubani wa Parachute unalipa..

Sahiv pia Dunia inaenda ktk transition ya Drone..

Urubani wake pia unamalipo mazuri sana sana, pia ninayo license yake so narusha MANNED Aircraft na UNMMANED Aircraft au kitaalam

Unmanned Aerial Vehicles na Manned Aerial Vehicles.

Na upande wa UAV's nafanya Missions za BVLOS kwa umbali wa kilometers hata 500.

So hii sekta ina fursa nyingi ni ww kuangalia capacity yako unaweza kipi. Hatua moja inainua hatua nyingine au fursa nyingine..
 
Je hii flight operations officer imekaaje
 
Safi sana kuna fursa sema ada zimesismama sana watu wanashindwa kumudu
 
Je hii flight operations officer imekaaje
Hii course navyokumbuk ni kama wiki 16 hivi..

Na moja ya qualifications uwe umefika A level na uwe na principle passes za Physics, Math, geography etc..

Hii kitu ni ngumu kias na ina license yake..

Majukumu yake ni kama kiungo mchezeshaji.. yaan mambo yote ya kuhusu ndege, mfn flight plan ambazo maruban wanatumia, weight and balance maswal technical ya ndege, calculations za mafuta kupangia maruban schedules etc..

Kingine soko lake la ajira sio TZ tu ni WORLD WIDE. so unawez soma Tz ukaenda fanya kazi Dubai. Ww tu utakapoona kuna fursa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…