Kwani mbali na urubani hakuna tofauti na hiyo kwenye sekta hiyo ambayo ni nzuri na ni payable?
Tuwaandae vijana wetu
Vipi kuhusu engineer huyu mtu wa matengenezo fursa zake zikoje katika sekta huyo
Nafikiri NIT wanayo hii ya ENGENEERING
Hii sekta ina fursa nyingi..
Mfano Engineers wamegawanyik ktk makundi mengi ila nitagusia mawili.
ANE na hao AE
sasa kibongo bongo ANE soko lao lipo Serikalini sana maana mifumo mingi kuanzia ya Radar ni ya Serikali pia na mitambo ya Sauti ya umbali kama vile VHF madude ya Automation kama ILS etc
Hao AE soko lao lipo both but sekta binafs ndio kuna ndege nyingi.. na wanahitajika sana, mfano mwaka juzi kama sikosei kuna usahili wa kupew scholarship ya kwenda kuwaandaa hao Engineers ili waje waisaidie Sekta ya Anga hapa nchini. Na iliratibiw na TCAA.
Pia watu kama wa ATMO, AIO pia ni marketable kwa pande zote Serikali kuu na Jeshini pia.. ila sekta binafsi si sana.
Flight dispatcher..
Ground Ops
Airport Operations
Aircraft Operations
Cabin Crew.. (Precision wanamtindo wa kuajiri wanafunzi wao ktk chuo chao watakao fanya vzr zaidi).
Pia kuna ishu ya Ticketing/Booking hapa ukiw na kampun nzr na mtaji mzr basi umeula..
Na pia Urubani wa Parachute unalipa..
Sahiv pia Dunia inaenda ktk transition ya Drone..
Urubani wake pia unamalipo mazuri sana sana, pia ninayo license yake so narusha MANNED Aircraft na UNMMANED Aircraft au kitaalam
Unmanned Aerial Vehicles na Manned Aerial Vehicles.
Na upande wa UAV's nafanya Missions za BVLOS kwa umbali wa kilometers hata 500.
So hii sekta ina fursa nyingi ni ww kuangalia capacity yako unaweza kipi. Hatua moja inainua hatua nyingine au fursa nyingine..