The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Acha zako hiyo mbona itakua imekaa kimasihara. Salary slip ni evidence ya kua umelipwa kiasi fulani sasa uliona wapi unapewa evidence ya kulipwa kabla haujalipwa.Yani data zinaingizwaa ndo helaa zitakujaaa😀😀😀 Unaingiziwa according to data
tena ukiwa nje ya nmb, unalamba salary tarehe 2,Vijana mna moto. Enzi za Kikwete tulikuwa tunalambishwa mpaka tar 30.
Iliwahi kuchelewa kabisa mpaka mwezi mwingine.
NMB akilipwa, unasubiri siku mbili ndiyo unapokea.tena ukiwa nje ya nmb, unalamba salary tarehe 2,
🤣 wawawezi elewa hili
yawezekana kweli ukaona inatotakana na bypass za mazoea ya watendaji ila haimanishi ni sahihi. Tanzania hii kuna invoice utakuta zimesainiwa kabla hata budget bill haijawa issued, what a crap nation.Mkuu mbona unakaza hivyo, hata mimi naiona slip ya July ESS na mshahara bank bado haujasoma...
Hatuoni salio likisoma huku.Hamjasahaulika
BYani data zinaingizwaa ndo helaa zitakujaaa😀😀😀 Unaingiziwa according to data
Liatasoma tuu Leo kila mtu anapataHatuoni salio likisoma huku.
Miss wewe ndio unahusika na malipo?B
Liatasoma tuu Leo kila mtu anapata
Hujamuelewa. Zingatia neno "Kutegemea mshahara tu"lakin tunafanya kazi ni halali yetu mkuu au tunakosea?
Kwanini mulumbane issue ambayo wewe mwenyewe unaweza kuprove.Acha zako hiyo mbona itakua imekaa kimasihara. Salary slip ni evidence ya kua umelipwa kiasi fulani sasa uliona wapi unapewa evidence ya kulipwa kabla haujalipwa.
yani upande basi alafu upewe ticket kabla haujalipa
sijaelewaNMB OYEEEEE
CRDB OYEEEE
ni katika hafla ya uzinduzi huko chamwino.
yah uko sawa kiongozi,Kwanini mulumbane issue ambayo wewe mwenyewe unaweza kuprove.
Nenda ess kisha E salary slip copy then kaipakue chrome. Mimi nishapakua jana ili nifanye calculation ya mkopo benki
hakuna incrementKwa waliopata salary Kuna increment?
Hapana Ni GVT servant kama wengineMiss wewe ndio unahusika na malipo?
NdiyoKwa waliopata salary Kuna increment?
Nyie wa zamani ndo hamuelewi maana kinachozingatiwa ni ule mzunguko wa siku 28/30tena ukiwa nje ya nmb, unalamba salary tarehe 2,
🤣 hawawezi elewa hili
Naona ATM za NMB zinafurika foleni, nadhani kuna kitu kimetokea muda si mrefuNyie wa zamani ndo hamuelewi maana kinachozingatiwa ni ule mzunguko wa siku 28/30
Kama tarehe 22 mpaka 22 au 30 mpaka 30 au tarehe 1 mpaka tarehe 1
Wako sahihi vijana wa sasa
Milioni 30 makato kwa mwezi ni kiasi gani kwa mkopo wa miaka 9 CRDB?Kwanini mulumbane issue ambayo wewe mwenyewe unaweza kuprove.
Nenda ess kisha E salary slip copy then kaipakue chrome. Mimi nishapakua jana ili nifanye calculation ya mkopo benki