Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Yani data zinaingizwaa ndo helaa zitakujaaa😀😀😀 Unaingiziwa according to data
Acha zako hiyo mbona itakua imekaa kimasihara. Salary slip ni evidence ya kua umelipwa kiasi fulani sasa uliona wapi unapewa evidence ya kulipwa kabla haujalipwa.

yani upande basi alafu upewe ticket kabla haujalipa
 
Mkuu mbona unakaza hivyo, hata mimi naiona slip ya July ESS na mshahara bank bado haujasoma...
yawezekana kweli ukaona inatotakana na bypass za mazoea ya watendaji ila haimanishi ni sahihi. Tanzania hii kuna invoice utakuta zimesainiwa kabla hata budget bill haijawa issued, what a crap nation.
 
Acha zako hiyo mbona itakua imekaa kimasihara. Salary slip ni evidence ya kua umelipwa kiasi fulani sasa uliona wapi unapewa evidence ya kulipwa kabla haujalipwa.

yani upande basi alafu upewe ticket kabla haujalipa
Kwanini mulumbane issue ambayo wewe mwenyewe unaweza kuprove.
Nenda ess kisha E salary slip copy then kaipakue chrome. Mimi nishapakua jana ili nifanye calculation ya mkopo benki
 
Back
Top Bottom