Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Milioni 30 makato kwa mwezi ni kiasi gani kwa mkopo wa miaka 9 CRDB?
Tayari?Bandugu tuwahi foleni ya NMB
Azania ndio wako fresh zaidi.Milioni 30 makato kwa mwezi ni kiasi gani kwa mkopo wa miaka 9 CRDB?
sijaelewa
Acha zako hiyo mbona itakua imekaa kimasihara. Salary slip ni evidence ya kua umelipwa kiasi fulani sasa uliona wapi unapewa evidence ya kulipwa kabla haujalipwa.
yani upande basi alafu upewe ticket kabla haujalipa
tayariii mkayakombee mahelaaaaaaAzania ndio wako fresh zaidi.
CRDB millioni 30 watakata around millioni 60 kwa miaka 9
HahahahahahaKwaherini Jamani tukutane mwezi ujao
Sio kweliWale wa CRDB TAYARI
sio kweliSio kweli
Usichukue huu mkopo.Milioni 30 makato kwa mwezi ni kiasi gani kwa mkopo wa miaka 9 CRDB?
Tena ilala ilizidi nakumbuka nshapokea mshahara tarehe 2 mimi 2015 tu hapoVijana mna moto. Enzi za Kikwete tulikuwa tunalambishwa mpaka tar 30.
Iliwahi kuchelewa kabisa mpaka mwezi mwingine.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]NMB OYEEEEE
CRDB OYEEEE
ni katika hafla ya uzinduzi huko chamwino.
Miaka mwisho sio 7?Milioni 30 makato kwa mwezi ni kiasi gani kwa mkopo wa miaka 9 CRDB?
Miaka 9 mingi sanaUsichukue huu mkopo.
#YNWA
Mmmh sidhani mkuu umeongea kinadharia sanaAzania ndio wako fresh zaidi.
CRDB millioni 30 watakata around millioni 60 kwa miaka 9
Ipo ata zaidi itagemeana na ww mwenyewe na aina ya mkopoMiaka mwisho sio 7?
Tena mshahara ukiwa chini ya 1m, atalambwa 600k+ monthly.Miaka mwisho sio 7?
CRDB TAYARI[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]