Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Scale gani acha kutisha watu na mikwara yako hujui ulisemale watumishi wapo laki 5 Tanzania nzima ila wenye mshahara unaovuka million moja hawavuki hata laki moja waliobaki wote wanatembelea rim usidanganye watu hapa.
Mkuu, relax na haya maisha ya hapa duniani, wacha kujipa taabu bila ya umuhimu wowote. Unaishia kuporomoshewa matusi
 
Mkuu yeye anaita watu wajinga sijui wapumbavu eti kisa wanaulizia mshahara wakati ni haki yao. Mara atukane walimu. Mm mwalimu, baba yangu mwalimu, mama yangu mwalimu halafu anataka nimchekee.
Ana matatizo ya kisaikolojia, mimi wala si mwalimu lakini nashiriki huu uzi na kuyajua mengi sana
 
Mkuu, relax na haya maisha ya hapa duniani, wacha kujipa taabu bila ya umuhimu wowote. Unaishia kuporomoshewa matusi
Kwasababu asilimia kubwa ya walimu hawajielewi ndio maana wanashindwa kutetea hoja wana kimbilia matusi ila hakuna bundle la matusi ni buree ukija bila guard ila watumishi wengine ni vilaza hawa bila shaka hawajapitia ajira portal.
 
Usijipe taabu na maisha ya watu wasiokuhusu, ukiwa hivyo maisha haya ni mepesi sana.
 
Huu upuuzi wa kuulizana mishahara humu jf kama umetoka au haujatoka ni sheria za wapi za utumishi mshahara kuchelewa siku mbili tayari mshajaza server humu na wengine wana miaka 10 kwenye ajira ila bado wanategemea mshahara nonsense kabisa.
Ukute apo kakalia kochi la mume wa Dada yake na Mbupu zake hana hata jero ila Wabongo.
 
Naam mkuu
Halafu hapa watu wanajaribu kurelax kupunguza machungu ya maisha
Tusikaze roho saana wakati maisha yenyewe tayari yashatukazia
 
kaa kwa kutulia maana Mama ni Mwenye huruma na upendo kwa watanzania wote. Kwa hiyo acha kulia lia .bali andaa leso ya kufuta machozi ya furaha pale ambapo mama atanyoosha mkono wake na kukufikia hapohapo ulipo.
Punguza uchawa ongea FACTS
Sheria inasema "Increment ni kila mwezi wa saba"

Yeye ni nani asitii sheria?

No one is above the law.

#YNWA
 
Punguza uchawa ongea FACTS
Sheria inasema "Increment ni kila mwezi wa saba"

Yeye ni nani asitii sheria?

No one is above the law.

#YNWA
Mimi ninavyojua increment inafanyika ule mwezi uliojaza barua ya ajira,mfano kama umeajiriwa mwezi wa pili wa mwaka flani basi kila ikifika mwezi wa pili wa miaka inayofuata ndo increment yako inaongezwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…