Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Wafukuzwe kazi kwa kosa la kutegemea mshahara

Wakajue Maisha ni magumu hatupo kusikiliza story za watumishi wa umma tuu

Wakajue watanzania wengi hawana Ajira


Wakajue ni kamchezo ka Tanzania pekeyakeee hata Japani hawafuatilii la sivyo (Angeagiza Gari Japani wangemdharau na lisingekuja Tanzania)

Nimeagiza Hii, BMW Japani wameniambia Hawataleta na wameniambia "Watanzania wapo kuboresha Maisha ya Watu unataka Gari la Nini!? Pesa wamechukua - Watanzania Mnafahamika Duniani Maamuzi yenu Super kila Nchi inayaunga Mkono


 
Nimeagiza Hii, VX Japani wameniambia Hawataleta na wameniambia "Watanzania wapo kuboresha Maisha ya Watu unataka Gari la Nini!? Pesa wamechukua - Watanzania Mnafahamika Duniani Maamuzi yenu Super kila Nchi inayaunga Mkono

Kweli "Nchi Haiwezi kufanikiwa ikifanya Mambo yake pekeyake"

 
Nimeagiza Hii, BMW Japani wameniambia Hawataleta na wameniambia "Watanzania wapo kuboresha Maisha ya Watu unataka Gari la Nini!? Pesa wamechukua - Watanzania Mnafahamika Duniani Maamuzi yenu Super kila Nchi inayaunga Mkono

Kweli "Nchi Haiwezi kufanikiwa ikifanya Mambo yake pekeyake" Ogopa Mkono wa Tanzania Ukifanya Maamuzi

 
Vijana 2,000,000 wa tanzania hawana Ajira twende kwa pamoja kuwasifia... Watu wanakazi ya kusubiria hela kiasi hicho zisipotoka je!?
 
Vijana 3,000,000 wa tanzania hawana Ajira twende kwa pamoja kuwasifia... Watu wanakazi ya kusubiria hela kiasi hicho zisipotoka je!?

La sivyo mtawaona kuwa masikini kwa lazimaπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Vijana 3,000,000 wa tanzania hawana Ni masikini twende kwa pamoja kuwasifia..πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™. Watu wanakazi ya kusubiria hela kiasi hicho zisipotoka je!?

La sivyo mtawaona kuwa masikini kwa lazimaπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Vijana 5,000,000 wa tanzania hawana Wanaimwa na Wapo hospitalini twende kwa pamoja kuwasifiaπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™... Watu wanakazi ya kusubiria hela kiasi hicho zisipotoka je!?

La sivyo mtawaona kuwa Wanamatatizo kwa lazimaπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Vijana 33,000,000 wa tanzania hawana Ajira twende kwa pamoja kuwasifiaπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™... Watu wanakazi ya kusubiria hela kiasi hicho zisipotoka je!?

La sivyo mtawaona kuwa Hawana Ajira kwa lazimaπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™ - Msomi ulieajiriwa lazima uteme hela


 

Attachments

  • IMG20240406125830.jpg
    3.1 MB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…