DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Bora umerudi mkuu tupambanie salary maana majuzi wewe ulivurugwa na mapenzi na Mimi Jana nimevurugwa na Simba.... Now tu-focus na salaryAngetubless kesho Monday tuanze week kwa nguvu tumfurahishe
Inatakiwa leo kesho ni mbali sana...Hivi kesho mama anaweza fanya maajabu?
😂😂😂Bora umerudi mkuu tupambanie salary maana majuzi wewe ulivurugwa na mapenzi na Mimi Jana nimevurugwa na Simba.... Now tu-focus na salary
Watupe hela yetu leo. Kesho tuamke na nguvu nyingine.Bora umerudi mkuu tupambanie salary maana majuzi wewe ulivurugwa na mapenzi na Mimi Jana nimevurugwa na Simba.... Now tu-focus na salary
Maisha yashakua magumu. Tarehe hazikutaniInatakiwa leo kesho ni mbali sana...
Zitakutana vp mkuu mm hapa hata salary ikitoka Sasa hivi ni mwendo wa nyama choma, pombe, wanawake respectivelyMaisha yashakua magumu. Tarehe hazikutani
kuugawanya mshaahara ni kuupunguzia nguvu.Huu Uzi huwa naukuta una trend kuanzia tarehe 21 Kila Mwezi
Nikifanikiwa kuwa paymaster general, nitakuwa nalipa Mishahara mara mbili tarehe 15 ya kila Mwezi na tarehe 30 😜
Hakika na ndio matumizi yake ayo. Hakuna jinsi.Zitakutana vp mkuu mm hapa hata salary ikitoka Sasa hivi ni mwendo wa nyama choma, pombe, wanawake respectively
Yeah kweli mfano unapokwa 600k ukiivunja tayari 300kkuugawanya mshaahara ni kuupunguzia nguvu.
Unakuwa unaongeza mzunguko wa pesa na kuchochea uchumi kitaa. Tulipane hata kila ijumaa.kuugawanya mshaahara ni kuupunguzia nguvu.
Leo sio rahisi, kitu ni hadi Alhamisi ama JumatanoHahaha hivi anaweza kuweka leo?
Angetubless kesho Monday tuanze week kwa nguvu tumfurahishe
Zitakutana vp mkuu mm hapa hata salary ikitoka Sasa hivi ni mwendo wa nyama choma, pombe, wanawake respectively
Muhimu sana. Dakika yoyote kuanzia sasa mtu anakua tajiri.Ni muda wa kuripoti kwenye hii kambi
Hahahaa serikali inawatumishi wa ovyo sana. Tumechanganyikiwa kaka na maisha.Mwamba, nakukubari sana
una uelewa mkubwa, mjanja, mtaalamu wa magari
pamoja na lugha yako ya kisela lakini nimechoka baada ya kujua na wewe ni mtumishi wa serikali
i wish, siku nionane na wewe
Alhamis? Kua Serious kaka.Leo sio rahisi, kitu ni hadi Alhamisi ama Jumatano