Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Nawachora tu, watumishi wa goT, mnavyolia lia
mzigo hadi tarehe 24 au 29 baada ya uchaguzi
 
Zitakutana vp mkuu mm hapa hata salary ikitoka Sasa hivi ni mwendo wa nyama choma, pombe, wanawake respectively

Mkuu, kweli maisha ni mafupi lakini punguza kula bata

jitahidi kuwawekea akiba wategemezi, watoto wako kwa maisha ya kesho

weka akiba kwaajiri ya maendeleo, kwa kununua assets

Tumia pesa zngine za ziada ktk anasa na sio mshahara. Heshimu mshahara wako usiudharau
 
Back
Top Bottom