Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

mshahara ni haki yake kuulizia hata kama ana biashara nyingine pembeni so waacheni wawe huru na mishahara yao period kupanga ni kuchagua
 
nipo kwenye utumishi wa umma tokea 2009 sasa nikionaga hawa GEN Z na vijigambo uwa sivielewagi hawujui wanabishana na baba zao humu utakuta wanakaa kwa dada zao
 
Well said, umenena vyema sana mkuu!
 
Babu tupate kwanza mshahara wa mwezi huu, ndio akili itafanya kazi😆
Nakuombea Mpate huo mshahara mapema kabla ya Alhamisi wiki hii, ila naomba usikose kuninunulia japo Kiko mbili Babu yenu niburudishe moyo 😜
 
kwanza salary huwa kama ina majin flan hiv. cha kwanza ukishanunua nunua mahitaj ya ndan. ukitoa nauli ukitoa umeme ukitoa ges maji na emergency. kama utabak hata na 50k niite nipo palee. haibak chochote. wanaosema biashara hiasharq ooh nao ndio chenga.biashara gan unapkea 290k .usicheke hio 290k ndio jamaa yang mmoja anapata kwa vile ana Service deni aliwah kukopa benk so ajamaa anabak na 290k kila mwez.
 
Hivi kwanini watu msiokuwa watumishi wa umma mnakuwa na shobo na huu uzi sana? Lengo la kuanzishwa huu uzi ni kupeana updates za lini cheque number zetu zinafurahi basi! Ushauri wa kufungua biashara sijui miradi pelekeni jukwaa la biashara, kilimo na ujasiriamali! Hapa tunaulizia lini salary slip zetu zitaonyesha madeni yetu ya bank yalivyopungua, malipo yetu ya PAYE yalivyopokelewa, michango yetu ya Bima za afya ilivyopokelewa ili kenge kama nyie mtibiwe! Punguzeni ushauri, miradi tunayo na salary tunaitaka!
 
Na bado hajakamuliwa na vishoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…