mshahara ni haki yake kuulizia hata kama ana biashara nyingine pembeni so waacheni wawe huru na mishahara yao period kupanga ni kuchaguaNimeona hapo juu mtu anasema mshahara utoke anazitumbue starehe na mademu ,lakini nina marafiki zangu niwatumishi, wao wanatumbua wakisema mshahara mdogo bora wanywee pombe tu . sio wote lakini .
Sijadharau mkuu. nimesema kuna umuhimu wa kuweka mkakati kujikwamua ,mbona wengine wanafanya hata biashara fulani fulani huku wamekopa na wanapiga hatua bila kutegemea salary? so ni mkakati tu lasivyo itakuwa hali hio hio