Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
NdiyoWamepandisha Madaraja??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdiyoWamepandisha Madaraja??
Mbona hamuulizii mshahara Leo au tayarWazee wa mishahara tupo
😂😂😂😂😂😂😂Uzi Wa watumishi huuHuu Uzi kumbe ni watarehe 21,22 na 23 😂😂😂
Baada ya hapo mpk mwezi ujao Tena!! KUFArijina
Daah haujawahi niangusha kwenye uzi wetu huu
Kiranja wetu wa uziCheo ata mimi nasubiria mama.
Polee Mkuu Japo Ni ishu isiyo kawaida Sana..Mkuu sipo hapo kwenye uteuzi. Cheo changu ni cha muundo kama ulivyosema na hupanda tu ukiongeza elimu na si kupita kwa muda...
Kwangu hata miaka 15 unaweza kuwa pale pale. In fact nipo kwenye cheo changu cha sasa tangu 2015!
Mshahara unaongezeka pale kukiwa na increment au mishahara ikipandishwa!
BadoKwani mshahara umetoka
[emoji849][emoji3][emoji3][emoji1][emoji1]Nijulisheni wakuu niende mjini saa hii
Naam. This month tusifike tarehe 26 jamani.Kiranja wetu wa uzi
Bado. Sema usicheze mbaliKwani mshahara umetoka
Hope mpka ijumaa mama atakua ameshachekaNaam. This month tusifike tarehe 26 jamani.
Ijumaa ya nn mshahara unatakiwa sasa hivi sio ombiHope mpka ijumaa mama atakua ameshacheka
MbaliiiiiHope mpka ijumaa mama atakua ameshacheka
Sisi wanazingizia system zimefungwa wakati tuna madeni ya FY iliopitaSema serikali haina pesa, katika taasisi yetu hamna pesa kabisa za ndani za kulipana posho
Ilibidi leo iwe tayari, Ijumaa hatutakiwi kuwepo kwenye huu uziIjumaa ya nn mshahara unatakiwa sasa hivi sio ombi
Mkuu kabla ya kwenda kazini asubuhi hela inatakiwa iwe imewekwa kwenye account sio ombiIlibidi leo iwe tayari, Ijumaa hatutakiwi kuwepo kwenye huu uzi