Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Samahani wakuu, hivi salary slip ikishawekwa kwenye mfumo inaweza kubadilishwa? Maana nilitegemea kupanda daraja mwezi huu lakini salary slip imeshaingia haina mabadiliko yoyote. HRO kaniambia muda huu kuwa kuna kitu walisahau kukiweka sawa hivyo eti nisubiri nitapanda tu!
Hilo haliwezekani by experience. Mabadiliko yataanza kuonekana kwenye mfumo ess, Kisha salary slip and salary. Hapo subiri mwezi ujao.
 
Back
Top Bottom