fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,305
- 5,355
Tayari mkuu mbona kwani kwako bado?Ufungwe kabla ya mzigo kuingia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari mkuu mbona kwani kwako bado?Ufungwe kabla ya mzigo kuingia?
Itakua kwa Wanaingiza kwa BatchTayari mkuu mbona kwani kwako bado?
Ile ile Meku ya Airtel😂😂Nikutumie kwenye namba ipi Kiongozi, usisahau wakati wa kurudisha utume Li Ten sasa 😜
Mzee wa salary slip vipi huko shimo limetema au bado??Kwa hali hii, mini naoa mshahara unaweza kusoma jioni sana au mapema kesho asubuhi.
Masikitiko.Mshahara ni kesho Asubuhi wakuu relaxin
Bank gani mkuuMambo tayari tuendelee kulamba😋😋😋
Hilo haliwezekani by experience. Mabadiliko yataanza kuonekana kwenye mfumo ess, Kisha salary slip and salary. Hapo subiri mwezi ujao.Samahani wakuu, hivi salary slip ikishawekwa kwenye mfumo inaweza kubadilishwa? Maana nilitegemea kupanda daraja mwezi huu lakini salary slip imeshaingia haina mabadiliko yoyote. HRO kaniambia muda huu kuwa kuna kitu walisahau kukiweka sawa hivyo eti nisubiri nitapanda tu!
Bank sijui wanakwama wapbado bank kubonyeza ile batan mesej ziingie sasa hivi
Mie sina increment.. sijui wengineAnnual increments wameweka?
Kuna Wadau humu wamethibitisha kupokea salary.Bank sijui wanakwama wap